Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Nilimaanisha hivi wewe kuisaidia elimu ni wewe kama zao la waliopata elimu basi ukalete chachu ya maendeleohapana fafanua mkuu
Kuna elimu ambayo ni informal na elimu formal... Informal ni elimu ya kuzaliwa, na formal elimu ni elimu ya darasani.... Sasa mafanikio hayategemei sana uwe na elimu bali elimu inakutegemea wewe kupata mafanikio unayoyataka... Dunia ina kila kitu fursa, changamoto ni wewe tu inakufanya sasa kuvitumia na kuleta mafanikio.