December 9 Tunatoka kwa Amani KULAANI Mauaji ya October 29 Wapenda Haki na Asasi zote za Kiraia Mtuongoze.

December 9 Tunatoka kwa Amani KULAANI Mauaji ya October 29 Wapenda Haki na Asasi zote za Kiraia Mtuongoze.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT.

20251107_193211.jpg


Tunaomba watanzania wote kwa umoja wetu tushikamane kuhusu hili mauaji ya October 29 hayakubaliki hiyo December 9 tutoke kwa amani kuukemea huu unyama wa samia.

1. Asasi za kiraia zote muwe mstari wa mbele

2.TLS na THRC Mtuongoze mstari wa mbele kabisa

3. Akina mama wote mliouliwa watoto karibuni.

4. Vyama vya siasa na taasisi za kidini muwe mstari wa mbele

5. Wasanii. Wanahabari na wanamichezo wote tuungane kwa pamoja.

6.Vijana wote wapenda haki sote kwa pamoja kushikamane.

Ikumbukwe kwamba haya yatakuwa mandamo Makubwa zaidi ya amani ambapo hakutakuwa na vurugu wala uchomaji wa kitu chochote utafanyika tutakuwa walinzi sisi wenyewe kwa hiyo hakuna kuogopa.

TLS na THRC Watuongoze kisheria kupata taratibu zote za maandamano haya ya amani ambayo yatafanyika kitaifaTanzania nzima. Pia sisi Watanzania tuandae mabango yenye ujumbe wa kukera hadi watawala
watamani kufa, Unyama wa October 29 haukubaliki Maandamao yaishie Vituo vya police au kwa wakuu wa mikoa.

#December9#tukutane#tena#
 
Mnarudia makosa ndugu zangu. December 9 ni mbali sana, watajiandaa kuvuruga malengo yenu.

Target nzuri ingekuwa siku ya ufunguzi wa Bunge.

Kwanza ingefunika focus yote kutoka Bungeni hadi kwenye maandamano. Kuna uwezekano mngepanga siku hii, uzinduzi ungeahirishwa.

Pia ingewapa pressure kubwa sana media tuone kama wataendeleza undezi waliouonyesha kwenye uchaguzi au watajaribu kubalance ripoti. Najua bado hawana ubavu.

Dunia tayari inaangalia, mkisubiri sana itakula kwenu.
 
Back
Top Bottom