antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Dah,Ded anaitwa nani? Ninasali sana Aweso asinifumanie na yule Bi. Mdogo
Unamtaja jina kabisa wakati yupo humu?
Andaa 10m kama akiamua kutega nyavu
Dah,Ded anaitwa nani? Ninasali sana Aweso asinifumanie na yule Bi. Mdogo
Kesi za kobongo zinakatisha tamaa jambo Dogo Tu Kuanzia 2021 hadi Leo Watu wanatembea na maumivu Tu bila mwafaka?Mkurugenzi huyo, ambaye wakati huo alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya (DED), aligundua ujumbe uliodaiwa kuashiria uhusiano huo na Mei 11, 2021, alisafiri kwenda Tabora akiwa na mashahidi na polisi. Walimkuta mfanyabiashara huyo na mwanamke huyo wakiwa uchi katika chumba namba 17 cha Star Lodge. Picha na video ziliwasilishwa na kupokelewa kama ushahidi
Ni tukio lilitokea miaka hiyo way back 2021 ka sikosei ilimuhusu jamaa mMoja mfanya biashara alikua na mke wake wale madada wapambanaji kumbe yule dada super woman analiwa na lijamaa lifanya biashara la mpunga limemchapa sana jamaa alipo mfumania ndio wakapelekana huko ikafikiwa jamaa alipwe na Ali lipwa pesa akapita hiviYupi boss?Unaweza recall hiyo stori hata kidogo mkuu?
10M inakutoa kwenye shida?
Pesa ya siku saba hii inasha na wala usijue ilikoishia
Julius Nyerere - MwalimuWewe mtamisemi mwalimu na weae una ubavu wa kuidharau 10m?
Typical JF10M inakutoa kwenye shida?
Pesa ya siku saba hii inasha na wala usijue ilikoishia
Kama mwanamke alikubali kwa hiyari yake hapo jamaa kosa lake ni lipi? Ndiyo maana Museveni aliamuru kuwa kumtia mke wa mtu kama ameridhia kwa hiyari yake si kosa na muhusika hapaswi kushikwa eti ugoni.My Take
Nilikuwa sijui kama Ugoni na fumanizi unaweza peleka kesi mahakamani na kudai fidia.
===============
Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 kwa Mkurugenzi wa Manispaa baada ya mfanyabiashara kukutwa na hatia ya kufanya uzinzi na mke wake.
Mkurugenzi huyo, ambaye wakati huo alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya (DED), aligundua ujumbe uliodaiwa kuashiria uhusiano huo na Mei 11, 2021, alisafiri kwenda Tabora akiwa na mashahidi na polisi. Walimkuta mfanyabiashara huyo na mwanamke huyo wakiwa uchi katika chumba namba 17 cha Star Lodge. Picha na video ziliwasilishwa na kupokelewa kama ushahidi.
Mwanamke huyo baadaye alikiri kuwa na uhusiano huo, huku mfanyabiashara huyo akikana kufanya uzinzi.
Jopo la majaji watatu; Jaji Shaban Lila, Dkt. Benhajj Shaaban Masoud na Jaji Lameck Mlacha, lilithibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 mjini Tabora, Septemba 23, 2026, likieleza kuwa fidia kwa kosa la kushawishi na uzinzi haiwezi kutolewa kwa pamoja pale ambapo uzinzi umethibitishwa.
Wanasheria ongezeni nyama tuelewe zaidi.
Technically si kosa labda tafsiri iwe mtu akiwa kwenye ndoa anakuwa amejimilikishana na huyo aliyefunga nae ndoa,kinyume na hapo anavunja mkataba wa makubaliano Yao.Kama mwanamke alikubali kwa hiyari yake hapo jamaa kosa lake ni lipi? Ndiyo maana Museveni aliamuru kuwa kumtia mke wa mtu kama ameridhia kwa hiyari yake si kosa na muhusika hapaswi kushikwa eti ugoni.
Rape au statutory rape(defilement) ndiyo kesi zinazotambulika kisheria, mke akiamua kuigawa kwa hiyari nitashughulika naye mwenyewe na si vinginevyo na hata akitengeneza mazingira ya kubakwa nitamshughulikia pia ila hapo mbakaji naye lazima aliwe kiboga kwanza kabla adhabu ya kuifundisha jamii sijamtandika nayo. Hapo ni sheria mkoni tu kihuni.
Ndio nasema kavunja sheria ya kuingilia faragha na hill ni kosa la jinai.Kwani unafikiri huyo DED ushahidi kapataje mpaka akalipwa fidia?
Kwa hiyo mnapofunga ndoa zenu mwanamke hugeuka kuwa bidhaa au?Hao ni mashahidi waliotumika kutoa ushahidi mahakamani, wewe unataka hiyo kesi isiwe na mashahidi?
Huyo ni mke wa mtu aliyeingilia faragha hapo ni huyo mfanyabiashara.
Mke wa mtu sio sawa na mwanamke anayejiuza unaweza kujibebea tu.
Mke wa mtu ni mali halali ya mume huwezi kumtumia kwa matumizi anayompa mume wake.
Na huyo businessman alijua anafanya kosa ndio maana akampeleka mbali huyo mwanamke.
NB.
I wish huyo mwanamke nae angeamriwa kufidia nusu ya hicho kiwango, kwasababu ni mtu mzima mwenye akili timamu aliyejua vizuri anachofanya ni kosa, ajabu akakubali kusafirishwa kama mbuzi.
Kama una ushahidi hutakiwi kumuacha kipuuzi pambana ulipwe fidiaUnagongewa mwanamke ndugu wanakushauri usimuache utawatesa watoto kumbe sehemu nyingine ni mradi
Kweli bwana Sasa Kuna sababu gani kesi ya fumanizi kuchukua mda mrefu kiasi hili?Kesi za kobongo zinakatisha tamaa jambo Dogo Tu Kuanzia 2021 hadi Leo Watu wanatembea na maumivu Tu bila mwafaka?
Hapa haujaandika logic.Kama mwanamke alikubali kwa hiyari yake hapo jamaa kosa lake ni lipi? Ndiyo maana Museveni aliamuru kuwa kumtia mke wa mtu kama ameridhia kwa hiyari yake si kosa na muhusika hapaswi kushikwa eti ugoni.
Rape au statutory rape(defilement) ndiyo kesi zinazotambulika kisheria, mke akiamua kuigawa kwa hiyari nitashughulika naye mwenyewe na si vinginevyo na hata akitengeneza mazingira ya kubakwa nitamshughulikia pia ila hapo mbakaji naye lazima aliwe kiboga kwanza kabla adhabu ya kuifundisha jamii sijamtandika nayo. Hapo ni sheria mkoni tu kihuni.
Ndoa ni mkataba, kile cheti cha ndoa ni kama contract, mwanamke na mwanaume wote wanaweka saini zao pale kumaanisha wao ni kitu kimoja.Kwa hiyo mnapofunga ndoa zenu mwanamke hugeuka kuwa bidhaa au?