DED ashinda kesi ya fumanizi/Ugoni Dhidi ya Mfanyabiashara na kupewa Fidia ya Milioni 10

DED ashinda kesi ya fumanizi/Ugoni Dhidi ya Mfanyabiashara na kupewa Fidia ya Milioni 10

Hapa haujaandika logic.

Kwenye society formation tunakubaliana kwamba ili jamii iwe free inahitaji mipaka. Mipaka inaonyeshwa kwa sheria, bila sheria tutakua kama wanyama.

Tusipokua na sheria ya kuzuia ugoni tutajiandaa na kesi za visasi, hapo Magomeni kuna jamaa alimfumania mkewe akampiga yule mgoni kisha wakamlawiti na kumnyonyesha ub00 videos zilikuepo online.

Huyu mwenye mke na kikundi chake walishtakiwa wakafungwa miaka 30.
Jamaa walikuwa na kila sababu ya kufungwa, it serves them right. Unapofanya revenge kwa kujichukulia sheria mkononi hakikisha haukamatwi na kutiwa hatiani, just imagine wamekula mvua 30 kila mmoja hapo huyo mwanamke aliyempambania si ndiyo anageuka janvi la wageni kabisa na mtu anaweza hata kumtembelea gerezani akamwambia "huku mkeo tunajichapia mpaka tunachoka nayo" and he can't do any shit.
Akili na maarifa ni vitu muhimu katika maisha.
 
Huo ushahidi huoni ni kuingilia faragha ya watu wazima? Hiyo haiwezi kuwa kesi?
Huwezi kuwa faragha na mke wa mtu. Hapo wewe ndiye unakuwa umeingilia faragha ya mtu.
Ukikutwa na mke wa mtu ukapigwa picha zikasambazwa mitandaoni huwezi kulalamika kuwa faragha yako imeingiliwa, hata kama ni nyumbani mwako
 
Back
Top Bottom