DED ashinda kesi ya fumanizi/Ugoni Dhidi ya Mfanyabiashara na kupewa Fidia ya Milioni 10

Kesi za kobongo zinakatisha tamaa jambo Dogo Tu Kuanzia 2021 hadi Leo Watu wanatembea na maumivu Tu bila mwafaka?
 
Yupi boss?Unaweza recall hiyo stori hata kidogo mkuu?
Ni tukio lilitokea miaka hiyo way back 2021 ka sikosei ilimuhusu jamaa mMoja mfanya biashara alikua na mke wake wale madada wapambanaji kumbe yule dada super woman analiwa na lijamaa lifanya biashara la mpunga limemchapa sana jamaa alipo mfumania ndio wakapelekana huko ikafikiwa jamaa alipwe na Ali lipwa pesa akapita hivi
 
Yeah na couple nyingine hio ni njia yao kupigia vibunda kwa mafogo .mke anajirengesha kwako mnapanga venue kwaajili ya zinaa anampa update mmewe mmewe anakuja kuwafumania anamjambisha mwana, kes iende mahakaman au mmalizane kibingwa nje ya mahakama
My take kama ukikutwa na fumaniz z na mke wa mtu na hilo tukio lisiwe ni scheme apo lazima utaingia kwa mgogoro na konki masta
 
Wewe mtamisemi mwalimu na weae una ubavu wa kuidharau 10m?
Julius Nyerere - Mwalimu
Ali Hassan Mwinyi - Mwalimu
John Pombe Magufuli - Mwalimu

Hao ni Marais tu, bado Prime Ministers, Ministers na watu wengine maarufu nchi hii. Hakuna kada inatoa watu maarufu na wenye hela kama ualimu. Idadi yao tu ni mtaji tosha.
Endelea kukariri.
 
Kama mwanamke alikubali kwa hiyari yake hapo jamaa kosa lake ni lipi? Ndiyo maana Museveni aliamuru kuwa kumtia mke wa mtu kama ameridhia kwa hiyari yake si kosa na muhusika hapaswi kushikwa eti ugoni.
Rape au statutory rape(defilement) ndiyo kesi zinazotambulika kisheria, mke akiamua kuigawa kwa hiyari nitashughulika naye mwenyewe na si vinginevyo na hata akitengeneza mazingira ya kubakwa nitamshughulikia pia ila hapo mbakaji naye lazima aliwe kiboga kwanza kabla adhabu ya kuifundisha jamii sijamtandika nayo. Hapo ni sheria mkoni tu kihuni.
 
Technically si kosa labda tafsiri iwe mtu akiwa kwenye ndoa anakuwa amejimilikishana na huyo aliyefunga nae ndoa,kinyume na hapo anavunja mkataba wa makubaliano Yao.
 
Kwa hiyo mnapofunga ndoa zenu mwanamke hugeuka kuwa bidhaa au?
 
Hapa haujaandika logic.

Kwenye society formation tunakubaliana kwamba ili jamii iwe free inahitaji mipaka. Mipaka inaonyeshwa kwa sheria, bila sheria tutakua kama wanyama.

Tusipokua na sheria ya kuzuia ugoni tutajiandaa na kesi za visasi, hapo Magomeni kuna jamaa alimfumania mkewe akampiga yule mgoni kisha wakamlawiti na kumnyonyesha ub00 videos zilikuepo online.

Huyu mwenye mke na kikundi chake walishtakiwa wakafungwa miaka 30.
 
Kwa hiyo mnapofunga ndoa zenu mwanamke hugeuka kuwa bidhaa au?
Ndoa ni mkataba, kile cheti cha ndoa ni kama contract, mwanamke na mwanaume wote wanaweka saini zao pale kumaanisha wao ni kitu kimoja.

Huyo mfanyabiashara ameenda kuiba mali ya mtu [simaanishi bidhaa], na alijua anakosea kufanya hivyo ndio maana akaenda kumficha Tabora.

Concern yangu ni moja, kama ndoa ni mkataba kwasababu ya kile cheti, basi hata mwanamke alistahili adhabu kwasababu alivunja mkataba kwa kuchepuka ikizingatiwa ni mtu mzima mwenye akili timamu.
 
Kwahiyo akipewa Millioni kumi ndio anaridhika mke wake kutembea na mtu mwingine? Alipaswa kuachana naye na kuoa mke mwingine asiye mzinzi. Na asimdai chochote huyo mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…