DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

Unakasirika nini wewe kisonoko bedui? Acha husda na choyo majinuni wewe.

Utakufa nacho kijiba cha roho
Hulali? Saa 8 usiku badala ya kulala unapost JF tena matusi? Wewe ndiwe mchawi. You are stressed and frustrated; counseling yourself on the gadget by abusive attacks. Utakufa wewe kwa upumbavu kabla ya siku zako; na mimi nitakufa, lakini kwa siku ambayo Mwenyezi Mungu ameipanga, si vinginevyo.
 
Wewe madam bahati Wa wita?
Msalimie lauwo na Eva bila kumsahau sinda
Huyo ni "Madamu" siyo madam; kafungua akaunti JF jana saa 11 jioni, saa 12 akaanza kutoa povu!!
 
Hii issue inawauma sana huko waliko ndio maana wanakuja na I'd mpya kujibu mashambulizi, na wewe ukipata wasaa mtonye boss wao japo huu Uzi nimemtag na kushare nae watsap afanye uchunguzi Wa haki.
Huyo ni "Madamu" siyo madam; kafungua akaunti JF jana saa 11 jioni, saa 12 akaanza kutoa povu!!
 
Wewe ndio mpumbavu uliyejawa na wivu husda na choyo!!

Kumwita mwenzio Manyege sio matusi?

Acha kukana eti sio mwalimu yaani unajionea kinyaa hata wewe mwenyewe?

Roho mbaya na husda hazijengi we popoma
 
Kima kweli wewe, kwa ulivyo mpumbavu na lofa unafikiri sote tupo kwenye time zone moja!! Kaa utambue si wote waliopo hapa JF mnaishi nao huko mavumbini!!

Naona unaulilia ualimu mkuu walau nawe upate posho!! Kama nakuona na tongo tongo zako.
 
We nae kimpumu tuu mkaanga sumu
Hii issue inawauma sana huko waliko ndio maana wanakuja na I'd mpya kujibu mashambulizi, na wewe ukipata wasaa mtonye boss wao japo huu Uzi nimemtag na kushare nae watsap afanye uchunguzi Wa haki.
 
Kima kweli wewe, kwa ulivyo mpumbavu na lofa unafikiri sote tupo kwenye time zone moja!! Kaa utambue si wote waliopo hapa JF mnaishi nao huko mavumbini!!

Naona unaulilia ualimu mkuu walau nawe upate posho!! Kama nakuona na tongo tongo zako.
Unaishi wapi wewe ambako hakuna mavumbi? Iwe iwavyo, u mavumbi wewe na mavumbini utarudi.
Huna hoja wewe zaidi ya utukanaji; kwa ufinyu wa fikra zako unadhani utaizima hoja hii kwa matusi, mpumbavu wewe na hujui kuwa hujui. Ni heri ungekuwa mjinga ungeweza kuelimika; lakini kwa upumbavu huo utabaki hivyo.
Naona kwenye post zako nyingi ukitaja matusi kibao, kashfa, kejeli n.k. kwa yeyote usiyekubalia nae kwa hoja; upuuzi mtupu!
Kubishana na mpumbavu (kama wewe ulivyo) ni upumbavu pia, na waungwana watashindwa kuona tofauti.
Najua, walengwa wamepata ujumbe na watafanya yawapasayo; wewe endelea kuvurumisha matusi, weka na mapya kama unayo kama unadhani kwa kufanya hivyo utawaepusha walengwa na malalamiko dhidi yao.
Eti nataka ualimu mkuu! Unadhani wote wanaolalamikia utendaji wa idara mbalimbali za serikali wote ni watumishi wa ofisi hizo? Nonsense.
 
Wewe mwalimu tuuu tena ngumbalu... vipi umetupwa pori gani ukafundishe ndugu mwalimu?
 
kingi
[/QU

Kama Ni senior hivyo Mbona Hana barua ya TAMISEMI, Barua ya aliyonayo Ni ya REO... Hawezi kwenda Popote
 
Kama Ni senior hivyo Mbona Hana barua ya TAMISEMI, Barua ya aliyonayo Ni ya REO... Hawezi kwenda Popote
Umenena haki, huyo Nyagabona asubiri tu kuondolewa ofisini kwa maelekezo ya kutoka juu maana aliteuliwa na REO Batholomeo Mujaya. Hana barua ya Wizara ya Elimu wala TAMISEMI.

Lakini pia, Nyagabona hakuwahi kuwa na masomo ya taaluma. Alisoma ADEM Bagamoyo enzi zile wakiwa hawana teaching subjects. Baadae alisoma Human Resource Management katika Taasisi ya Ustawi wa Jamii Kijitonyama (katika ngazi ya Advanced Diploma) na Masters ya Huma Resorce Management. Ni kisa mtu kama huyo kimpa utaaluma. Ataondolewa punde tu!

Kuhusu Majula, barua yake ya uteuzi ni ya kughushi. TAMISEMI ilielekeza aondolewe ofisini haraka lakiji Mama Fides Mnyogwa, aliyekuwa DEO wake Ukerewe alimwacha aendelee kuwa ofisini kwa sababu alikuwa anatembea naye (alikuwa hawala yake).

Tunafahamu visa vingi vilivyowahusisha Majula, Adam Janga, Gidadi na yule taaluma mwingine aliyetoka Ukerewe na kuhamishiwa Misungwi. Msitulazimishe tuwaanike hadharani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DODOMA huku watu wanapeleka Hadi 2M wilaya siitaji. Uratibu huu huu
NI kote huo ndio mfumo unaotumika katika idara ya elimu na SI msingi tu hata sekondari.Hili jambo wadau Kama hawatolichukulia kwa umakini linakoenda litakuwa na madhara makubwa sana kwa jamii. Huku niliko Kuna walimu walitoa rushwa ya hadi 1.5mil ili wapate uratibu elimu kata na 1mil ili wapate ualimu mkuu na ukuu was shule. Manyanyaso kwa walimu yapo NI makubwa Sana na haya yanaanzia mashuleni na kupandishwa hadi juu kwa maafisa elimu wilaya na mkoa. Wapo wanaofunguliwa mashitaka feki tume ya utumishi was walimu na
 
Nadhani hawataendelea tena, Kitajachofuata Ni kuleta barua zao humu... Naomba ukimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…