TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

Acha watu watoe maoni yao ,kama unapenda wasitoe maoni yao hata maoni yako hayatakuwa na maana stahiki.Hata kwenye maandiko matakatifu kuna madhalimu walikufa baada ya kutekeleza unyama tena kwa pigo la Mungu mwenyewe so kama ni pigo au ni kawaida mimi na wewe hatujui but ukweli ni kwamba acha watu wawe huru kumwaga sumu zao as long as hazikudhuru.
 
Ata mimi naweza kufa kwa c19, ila kinachozungumzwa hapa ni matendo ya aliyekufa, wanauliza, je akiwa hai alisimamia haki? Uchaguzi uliachia watu wengi majonzi makubwa sana, hakuna kitu kibaya kama mtu mwenye nguvu aje achukue haki yako kwa kuwa tu anajua huna nguvu ya kumfanya chochote.
 
Hivi huyu ndio ule Uchaguzi mdogo aliumaliza kwa style ya kutokea mlango wa Uani
 
RIP pole kwa familia na wananchi wa huko.Mkuu alisema ana reserve wengi,ingawa mbunge au diwani hawezi kuwa reserve
 
Watu wanacholaani zaidi ni matendo mabaya wanayowatendea watu. Wakachomwe moto huko.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Duh, umepiga mlemle yaani.thumb up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…