Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
-
- #61
Mwanasheria ni mtu aliyebobea katika masuala ya sheria na hutoa ushauri wa kisheria, kutetea wateja mahakamani, na kuhakikisha haki inatendeka kulingana na sheria za nchi pia kutoa suluhisho katika utofauti fulani wa watu.Mwanasheria ni nani kwanza?
Fact mkuu bila engineers mambo mengi tusingewezaNo. 4 I concur! Life without engineering is nothing, engineers do a lot, high tech...
Ni kozi za form four failure πTourism mbona mnaiacha?
Marketing &Sales
entrepreneur na mnasema watu wajiari
Socialogy haifai tena? watu wanaachana kila siku wanakimbilia ustawi
Kwanza kabisa tushaona sheria si haki.Mwanasheria ni mtu aliyebobea katika masuala ya sheria na hutoa ushauri wa kisheria, kutetea wateja mahakamani, na kuhakikisha haki inatendeka kulingana na sheria za nchi pia kutoa suluhisho katika utofauti fulani wa watu.
Ngoja My good brother Kiranga nikujibu hivi:Kwanza kabisa tushaona sheria si haki.
Unaweza kuwa na sheria bila haki, na unaweza kuwa na haki bika sheria.
Pili, umemtaja mwanasheria kama mtu ambaye kabobea katika sheria, mtu akisoma sheria na kupata vyeti vyote, lakini hajabobea kwenye sheria, huyo ni mwanasheria au si mwanasheria?
Na pia, mtu ambaye hajasoma sheria formally lakini ni autodidact kabobea kwenye sheria, huyo ni mwanasheria au si mwanasheria?
Pia, ni kweli sheria si haki kwa maana kwamba sheria ni kanuni zilizotungwa na wanadamu, ila zinaweza kuwa na mapungufu au kutokuwa na uadilifu. Unaweza kuwa na sheria isiyo ya haki, also haki inaweza kupatikana hata bila sheria rasmi.Kwanza kabisa tushaona sheria si haki.
Unaweza kuwa na sheria bila haki, na unaweza kuwa na haki bika sheria.
Pili, umemtaja mwanasheria kama mtu ambaye kabobea katika sheria, mtu akisoma sheria na kupata vyeti vyote, lakini hajabobea kwenye sheria, huyo ni mwanasheria au si mwanasheria?
Na pia, mtu ambaye hajasoma sheria formally lakini ni autodidact kabobea kwenye sheria, huyo ni mwanasheria au si mwanasheria?
Sana, sijui hela atapataje bila wachumi! πEconomics and statistics
Kwa hivyo kuwa mwanasheria ni kuwa na vyeti, hata kama hujui sheria?Ngoja My good brother Kiranga nikujibu hivi:
Je, mtu ambaye hajapata elimu rasmi lakini amebobea kwenye sheria kupitia kujifunza mwenyewe (autodidact) ni mwanasheria?
Kifalsafa mtu huyo anaweza kuwa mjuzi wa sheria, walakn kisheria hawezi kuitwa mwanasheria rasmi kwa sababu hajafuata mfumo wa vyeti.
Ukishakubali sheria si haki tu umeshadogosha sana umuhimu wa somo la sheria.Pia, ni kweli sheria si haki kwa maana kwamba sheria ni kanuni zilizotungwa na wanadamu, ila zinaweza kuwa na mapungufu au kutokuwa na uadilifu. Unaweza kuwa na sheria isiyo ya haki, also haki inaweza kupatikana hata bila sheria rasmi.
Je mtu aliyesoma sheria lakini hajabobea bado ni mwanasheria?
Kisheria, mtu aliyesoma sheria na kupata vyeti vyote anaitwa mwanasheria kwa sababu ana sifa za kitaaluma. Kwahiyo, bro Kiranga mtu anaweza kuwa mwanasheria kwa sifa lakini si bingwa wa sheria kwa ujuzi.
Brother Kiranga, cha msingi hapa ni kutambua kwamba sheria ni mfumo wa kanuni zinazotungwa na wanadamu ila zinaweza kuwa na mapungufu. Haki, kwa upande mwngine, ni dhana pana inayohusiana na maadili, usawa, na uhalali wa kimaadili. "Lengo la sheria ni kuhakikisha haki, lakini sio kila sheria inahakikisha haki kwa kila mtu kila wakati."Ukishakubali sheria si haki tu umeshadogosha sana umuhimu wa somo la sheria.
Na kama mwanasheria ni mtu mwenye vyeti tu hapo napo umedogosha sana umuhimu wa wanasheria.
Bro, umuhimu wa somo la sheria haupo tu kwenye kujua sheria zilivyoandikwa, bali pia katika kuelewa malengo yake, effects zake, na jinsi zinavyoweza kubadilishwa ili kuhakikisha zinafanya kazi kwa haki zaidi.Ukishakubali sheria si haki tu umeshadogosha sana umuhimu wa somo la sheria.
Na kama mwanasheria ni mtu mwenye vyeti tu hapo napo umedogosha sana umuhimu wa wanasheria.
Naam.Brother Kiranga, cha msingi hapa ni kutambua kwamba sheria ni mfumo wa kanuni zinazotungwa na wanadamu ila zinaweza kuwa na mapungufu. Haki, kwa upande mwngine, ni dhana pana inayohusiana na maadili, usawa, na uhalali wa kimaadili. "Lengo la sheria ni kuhakikisha haki, lakini sio kila sheria inahakikisha haki kwa kila mtu kila wakati."
Sijasema sheria si muhimu, nimesema sheria si muhinu kama inavyofanywa kuwa muhimu.Bro, umuhimu wa somo la sheria haupo tu kwenye kujua sheria zilivyoandikwa, bali pia katika kuelewa malengo yake, effects zake, na jinsi zinavyoweza kubadilishwa ili kuhakikisha zinafanya kazi kwa haki zaidi.
We jamaa bwana fani kongwe hapo ni mechanical engineeringKwahiyo sisi tunaowajengea Barabara, Maghorofa yenu mnayokaa, SGR, Mabwawa ya Umeme, Viwanja vya Ndege, Tunaowapatia Maji kwenye majumba yenu hata kama ya mgawo n.k
Hiyo inaitwa Civil Engineering
Ndiyo fani kongwe zaidi ya Uhandisi Duniani
Haiko hivyo mkuu pale bungeni kuna chief draftsman huyu ndio hudraft sheria na kuzifafanua.Wabunge hawatengenezi sheria au kubadili wao hupitisha sheria.Law is overrated. It doesn't even need a lab and can be changed by ignorant MPs πππ.
Wabunge wamepitisha sheria ya kuondoa vipengele vya ku protect natural resources bila hata kuisoma, wakaja kulalamika baada ya kuipitisha.Haiko hivyo mkuu pale bungeni kuna chief draftsman huyu ndio hudraft sheria na kuzifafanua.Wabunge hawatengenezi sheria au kubadili wao hupitisha sheria.
Umewahi kusikia kuhusu Pyramids za Misri ya kaleWe jamaa bwana fani kongwe hapo ni mechanical engineering
Kwahiyo hujaona Umuhimu wa Wahandisi wa Ujenzi?Brother Kuna field zikiondolewa Leo hii Dunia haiwezi kuwepo ila nikuuliza ni kipi civil anakifanya zaidi