Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Impossible
Afrika ya Kusini walikuwa na sheria ya ubaguzi wa rangi.

Ilikuwa ni sheria ya nchi, lakini haikuwa haki.

Marekani walikuwa na sheria za utumwa na ubaguzi wa rangi.

Zilikuwa sheria za nchi, lakini hazikuwa haki.

Unaweza kuwa na sheria ukawa huna haki.

Unaweza kuwa na haki bila ya sheria.

Huelewi wapi?
 
1. Medicine & Surgery.

2. Computer Science & IT –

3. Law

4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)

5. Education.

Ongezea za kwako!
Hapo degree ya kwanza ilitakiwa iwe ni ile degree ya kitaa, na ambayo yenyewe inamtaka mtu kujua tu kusoma na kuandika! Na siyo kwenda kuchakaza nguo kwenye vimbweta na pia kusoma madesa.
 
Afrika ya Kusini walikuwa na sheria ya ubaguzi wa rangi.

Ilikuwa ni sheria ya nchi, lakini haikuwa haki.

Marekani walikuwa na sheria za utumwa na ubaguzi wa rangi.

Zilikuwa sheria za nchi, lakini hazikuwa haki.

Unaweza kuwa na sheria ukawa huna haki.

Unaweza kuwa na haki bila ya sheria.

Huelewi wapi?
Brother wewe ndio hujaelewa imagine no wanasheria je conflict zitatuliwa je?

Nb. Ingawa conflict can be resolved bila wanasheria ila kuna kesi bila wao mambo hayakwendi
 
Back
Top Bottom