Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm huwa na Maanisha kwahiyoHii ko huwa mna maanisha nini?
Kuna kazi wapi mkuu vijana waende...GPA ya 3.8 ulisomea nini mpaka ukose kazi?
[emoji23][emoji23] Wewe sii umesoma hako ka kozi ka upuuzi hapo ardhiHOTEL MANAGEMENT
Umeme wa magari utaendana sana na nilicho kisomea pia nimeona fursa ni kubwa sana, hasa kwenye miji mikubwaKwanini umeme wa magari mkuu?
Maana nlikua nna wazo pia la kusoma umeme wa magari, ila sijajua solo lake
Nilikuwa nameza madesa ndugu, ila kwenye ajira compe ni kubwa asee usipimeAsa hizo B+ na A ulizipataje??
Soma masters kama unaweza uludi ukawe assistant huwez kosa nadhan GPA inaruhusuNilikuwa nameza madesa ndugu, ila kwenye ajira compe ni kubwa asee usipime
Samahani mkuu ulisoma kozi gani awali?Kwanza nianze kwa kumuombea dua kwa mwenyezi mungu Raisi wetu mstaafu, Dr. Jakaya Kikwete, Mungu amlinde na kumpatia maisha marefu yenye furaha hapa Duniani.
Sijui mzee wetu kikwete uliwezaje, maana ajira za kumwaga ulizokuwa ukitoa miaka 6 kurudi nyuma kwa kaka na Dada zetu leo kwa namna moja ama nyingine zimekuwa zikitusaidia na sisi majobless, leo unaweza kosa hata buku ya kula ukasaidiwa hata na ndugu ambae anakazi ya uhakika. Mungu akubariki sana muheshimiwa.
Wakati nikiwa advance shule yetu ilikuwa imepakana na chuo cha VETA, nilikuwa naona wale jamaa wamepotea njia kama sio kushindwa maisha. Kumbe bila kujua mimi ndio nilikuwa nimeenda kombo ya kiwango cha lami.
Najuta kupoteza muda, najuta kupoteza fedha ,najuta kutolitambua hili mapema, leo ninaishi kama nungunungu nisijue kesho yangu itakuwaje.
Ila mtafutaji hachoki, nimetuma maombi veta, nianze tena moja kusomea umeme wa magari. Mama Samia Hassan, nitoe pongezi kwako kwa kutufutia ile Value Retention Fee maana ilikuwa pigo kubwa kwa sisi majobless mungu akubariki sana mama.
Leo nimeamini cheti hakinunui bidhaa wala kulipa bili
Umeenda shule kweli wewe? Hiyo sio overall GPA, hiyo ni ya semisterGPA ya 3.8 ulisomea nini mpaka ukose kazi?
I wish ningekupa ushauri ila kuna vitu hujaviweka wazi.Kwanza nianze kwa kumuombea dua kwa mwenyezi mungu Raisi wetu mstaafu, Dr. Jakaya Kikwete, Mungu amlinde na kumpatia maisha marefu yenye furaha hapa Duniani.
Sijui mzee wetu kikwete uliwezaje, maana ajira za kumwaga ulizokuwa ukitoa miaka 6 kurudi nyuma kwa kaka na Dada zetu leo kwa namna moja ama nyingine zimekuwa zikitusaidia na sisi majobless, leo unaweza kosa hata buku ya kula ukasaidiwa hata na ndugu ambae anakazi ya uhakika. Mungu akubariki sana muheshimiwa.
Wakati nikiwa advance shule yetu ilikuwa imepakana na chuo cha VETA, nilikuwa naona wale jamaa wamepotea njia kama sio kushindwa maisha. Kumbe bila kujua mimi ndio nilikuwa nimeenda kombo ya kiwango cha lami.
Najuta kupoteza muda, najuta kupoteza fedha ,najuta kutolitambua hili mapema, leo ninaishi kama nungunungu nisijue kesho yangu itakuwaje.
Ila mtafutaji hachoki, nimetuma maombi veta, nianze tena moja kusomea umeme wa magari. Mama Samia Hassan, nitoe pongezi kwako kwa kutufutia ile Value Retention Fee maana ilikuwa pigo kubwa kwa sisi majobless mungu akubariki sana mama.
Leo nimeamini cheti hakinunui bidhaa wala kulipa bili
GPA gani inaruhusu? Umeona overall kapata ngapi?Soma masters kama unaweza uludi ukawe assistant huwez kosa nadhan GPA inaruhusu
BA Archaeology lazima utaabikeKwanza nianze kwa kumuombea dua kwa mwenyezi mungu Raisi wetu mstaafu, Dr. Jakaya Kikwete, Mungu amlinde na kumpatia maisha marefu yenye furaha hapa Duniani.