Msiba wa Taifa
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 128
- 53
- Thread starter
-
- #21
[emoji28][emoji28][emoji28] nani aliwaambia kuna koz za afya huwaga wanakosaga hajira,, makubwaaaHebu endelea kusoma pharmacy yako hiyo baadae utaelewa mfumo upoje
Koz zngne hovyo hovyo kabisaaAUDITING.... huo ndo mchongo wenye pesa zaidi asikuambie mtu... kozi zingine ni kelele tu..
Salary shingap [emoji28][emoji28][emoji28]Unazungumzia enzi zipi za kuiba dawa? Njoo huku ndio utakapojuta vizuri na hizo expectations zako uchwara. You're wrong about salary na hata dili za kusimamia maduka ngumu kuzipata. Wengi tulijawa na the same expectations ila now tunaishi kwa uhalisia zaidi.
Sijasema kama hakuna ajira hapo[emoji28][emoji28][emoji28] nani aliwaambia kuna koz za afya huwaga wanakosaga hajira,, makubwaaa
[emoji28][emoji28][emoji28] mimi nijuavyo kozi zote za afya zinasoko zikiongozwa na babalao pharmacy.
Ukiwa mwanachuo raha sana, yani unaota ndoto zoteee tena zinazokutia moyo tu. Kimbembe ukiingia kitaa katika mazingira halisi
Medical laboratory [emoji739] pharmacy which is the best course for your future success [emoji326]Yan zunguka kote dunian degree zote za Afya haziwez mfikia MD hivyo mtoa mada pole na huko kujipa moyo utamiliki maduka ya dawa ni kwa kua mfamasia utakua peke yako au, msuli Wa lab, cjui phamas, ni sawa na MD yan had sasa hizo degree hazijafikia mil moja basic salama na ukimaliza take hom lak 7 usipokua na kaduka kadawa lazima uisome namba
Kama miaka 15/10 iliyopita nchi za Europe na USA zilikuwa na uhaba mkubwa wa pharmacists, walitafuta sana watu hao kutoka developing countries, Europe unapewa 5 years work permit straight away.mwakani namaliza masomo yang ya ufamasia lkn ajira hazipo kama huyo anavyosema pia hiyo ishu ya kusimamia duka ulipwe sio km unavyosema embu kasome Pharmacy Act 2002 itakuelewesha,pitia pia section ya 16 mpaka ya 24 utaelewa bwana mdogo
Yan zunguka kote dunian degree zote za Afya haziwez mfikia MD hivyo mtoa mada pole na huko kujipa moyo utamiliki maduka ya dawa ni kwa kua mfamasia utakua peke yako au, msuli Wa lab, cjui phamas, ni sawa na MD yan had sasa hizo degree hazijafikia mil moja basic salama na ukimaliza take hom lak 7 usipokua na kaduka kadawa lazima uisome namba
Mambo yàngekuwa rahisi kama unàvyodhan bac wafamacia wa Tanzania wangekuwa mamilionea kwa sasa, kijana tupo kwenye medical field kwa muda mrefu hayo mambo tunayajua vzr hivyo hizo story za kusimuliwa na kusadikika achana nazo maliza chuo uingie mtaan ukutane na maisha halisi sio hayo maigizoNaomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu.
Je mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo.
Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza si chini ya milion3 kwa mwez ukisimamia maduka ya madawa ya wazungu na wachina pale KARIAKOO/MWANZA MJINI/DODOMA/MOROGORO.
Hapo bado unapiga mishahara serikalini 1.3millions sawa na Dr.
Pia Mpharmacia mwenyew unafungua maduka yako binafsi halafu dawa zile unazouza uzinunui bali unaiba tuu hospitalini.
PHARMACY IS DA BEST IN DA WORLD
[emoji28][emoji28][emoji28]
MWENYE NYONGEZA PLEASE ONGEZEA .
SITAKI MATUSI.