Tetesi: Dejan ashinda Kesi, Simba kumlipa 500 million

Habari za kutunga za mitandaoni tu hizi. Hazina ukweli wowote. Mkitaka habari za kweli nendeni kwa Micky Jr kule X au hata Facebook na Instagram. Huko hakuna habari kama hizo. Ujinga tu wa watu wachache wa mitandaoni.
Zipuuzeni..
 
Mchezaji aliyewahi kuichezea Simba kwa siku 54 Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya Simba na anatakiwa kulipwa milion 500 za Kitanzania kwa kukiukwa mkataba wake wakati anachezea Simba, FIFA imeipa Simba siku 45 kuhakikisha inalipa fedha hizo.

NB: Mlete mzungu [emoji23][emoji23][emoji112]

View attachment 2996160
sasa hawa mikia watatoa wapi hiyo hela?
 
Habari za kutunga za mitandaoni tu hizi. Hazina ukweli wowote. Mkitaka habari za kweli nendeni kwa Micky Jr kule X au hata Facebook na Instagram. Huko hakuna habari kama hizo. Ujinga tu wa watu wachache wa mitandaoni.
Zipuuzeni..
Mick ni wa mchongo
 
Hiyo kesi kaishinda mitandaoni tu. FIFA, CAF wala TFF hawana taarifa kabisa. Hakuna taarifa yoyote ya FIFA wala TFF kama ilivyozoeleka. Mitandao ndiyo itakayomlipa Dejan hizo Mil 500. Ngoja tumsubiri.
 
Huamini
 
Back
Top Bottom