Dejan kawakosea nini? Mashabiki mbona mna mambo ya hovyo sana. Huo ni ubaguzi wa wazi michezoni, FIFA haitaki hayo mambo

Mambo mengine ni ujinga tu wamashabiki uchwara wa kibongo utafikiri sisi wenyewe kuna tunachokijua.
Ukweli mchungu inabidi niuseme huo si utani bali ni ushamba tena ushamba wa hali ya juu mno
 
Mbna ulaya waafrika wanabaguliwa na hujawahi kutoa tamko humu we JENEZA FC?Unajikomba kwa wazungu unadhani wale ni wenzako?Miafrika mingine bhana hovyo kabsa.
 
Simba hawana imani. Yule jamaa akija yanga mtakubali wa shamba nyinyi. Mpira anajua yule ngoja aje kushirikiana na mayele mkajinyonge Kwa mafungu.
 
Nyinyi wenyewe makolo mmeshaanza kutomkubali huyo mchezaji wenu Sisi Huyo mzungu wenu anatuhusu nini? Mmeanza kumbagua kwa sababu hawasaidii.Waambie makolo wenzako mipovuu tu imewajaa mmeshapigwa Tulizeni ball😜😜
Mkuu mzungu anajua. Mm yanga kama wewe. Sema hawa jamaa Wana mihemko. Yule kocha hamalizi miez 6 trust me
 
♦️Mara yake ya kwanza kufuka Afrika

♦️Anakuja kwenye nchi ya weusi tii

♦️Kwa uzoefu wangu wa kukaa na wazungu hawapendi hata kidogo kuitwa MZUNGU wanaona kama ni kumbagua ila sisi wabongo kwa ushamba wetu tunaona kuwa ni Ufahari na kuwapandisha daraja

♦️Tatitizo lilianzia kwa Ahmed Aly , ni kijana mdogo anayechipukia anayejitahidi sana kuitetea na kuikuza brand ya idara anayoifanyia kazi. Alitumia " mlete mzungu" ikiwa ni sehemu ya ushamba tulionayo wabongo wote ikiwa ni tambo kwa wapinzani wao kuwa wamempata mchezaji ambao ni next to malaika kama tunavyoamini kwa mtu mweupe

♦️Lakini jambo hilo limechukuliwa kinyume, watu sasa wanatembea na midoli ya kuuzia nguo wakifananisha na mchezaji huyo asiye na hatia na utani wetu.

♦️Ni maoni yangu utani huu wa kijinga usiwalenge wacchezaji ambao ni waajiriwa tuu bali uwalenge viongozi na mashabiki

♦️Naomba serikali iingilie kati suala hili linaloitia doa soka na heshima ya nchi yetu
 
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga .kacheza timu kubwa ulaya na anafunga magoli mazuri sana ,,lakini mashabiki wa nchi hii Wana mambo ya kitoto Sana.

Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi Racism . Ligi haijaanza bado kacheza mechi Moja ya mashindano na yenyewe kacheza dakika 27, siku ya Simba Day kacheza dakika 16 mnataka afunge hat trick?

Acheni kumpa presha yule ni mtu .hapa kwetu ndiye alikuwa wa mwisho kusajiliwa hajakaa na timu bado hata misri yule hakuwepo .wachambuzi nao sijui nani kawaroga wameingia kwenye mkenge wa mashabiki utopolo wa Tanzania.

Chris mugalu kacheza mechi ngapi bila kufunga nyinyi kuku? John boko msimu huu kafunga goli ngapi na kacheza mechi ngapi Nyinyi utopwinyo? Nyinyi gongo wazi huyo mayele alishawahi kufunga hat trick hapa TANZANIA nyinyi gongo nyonyo?

Muacheni Dejan acheze Mpira hata christian Ronaldo mechi mbili mpaka tatu anaweza asifunge, mkome kumbagua mzungu wa watu ,endeleeni kukuna Nazi wali upo jikoni
Naungana na ww mtani!!sio sawa kabisaa kumchafua/kumdhalilisha mzungu!!hajacheza dk nyingi, hajakaa na team etc!sio muda wa kumuhukumu!!
 
♦️Mara yake ya kwanza kufuka Afrika

♦️Anakuja kwenye nchi ya weusi tii

♦️Kwa uzoefu wangu wa kukaa na wazungu hawapendi hata kidogo kuitwa MZUNGU wanaona kama ni kumbagua ila sisi wabongo kwa ushamba wetu tunaona kuwa ni Ufahari na kuwapandisha daraja

♦️Tatitizo lilianzia kwa Ahmed Aly , ni kijana mdogo anayechipukia anayejitahidi sana kuitetea na kuikuza brand ya idara anayoifanyia kazi. Alitumia " mlete mzungu" ikiwa ni sehemu ya ushamba tulionayo wabongo wote ikiwa ni tambo kwa wapinzani wao kuwa wamempata mchezaji ambao ni next to malaika kama tunavyoamini kwa mtu mweupe

♦️Lakini jambo hilo limechukuliwa kinyume, watu sasa wanatembea na midoli ya kuuzia nguo wakifananisha na mchezaji huyo asiye na hatia na utani wetu.

♦️Ni maoni yangu utani huu wa kijinga usiwalenge wacchezaji ambao ni waajiriwa tuu bali uwalenge viongozi na mashabiki

♦️Naomba serikali iingilie kati suala hili linaloitia doa soka na heshima ya nchi yetu
Kabla ya serikali, uongozi wa simba unapaswa kukemea huu ujinga, ni kitu kibaya kabisa na si cha kistaarabu, lakini jambo la kujifunza klabu zinapotafuta watu wa kuwaajiri kazi kama anayofanya Ahmed Ally zitafute watu wazima (matured), maneno mengi anayosema Ahmed ni kama klabu yote ni watoto au watu wa umri wake, mizaha na utani ni zaidi ya kiwango..hafai kuendelea kuwa msemaji wa simba kabisa! Huo utambulisho aliofanya kwa kumuita Dejan "mzungu" alitakiwa arekebishe pale pale..hajui futbol, hajui sheria za futbol, hana exposure ya matukio ya futbol ni kama mhuni wa mitaani tu! Klabu yote inaonekana kama ya wahuni..viongozi wa simba wajitokeze kukemea ujinga huu uachwe, wamuite Dejan kwa jina lake!
 
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga .kacheza timu kubwa ulaya na anafunga magoli mazuri sana ,,lakini mashabiki wa nchi hii Wana mambo ya kitoto Sana.

Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi Racism . Ligi haijaanza bado kacheza mechi Moja ya mashindano na yenyewe kacheza dakika 27, siku ya Simba Day kacheza dakika 16 mnataka afunge hat trick?

Acheni kumpa presha yule ni mtu .hapa kwetu ndiye alikuwa wa mwisho kusajiliwa hajakaa na timu bado hata misri yule hakuwepo .wachambuzi nao sijui nani kawaroga wameingia kwenye mkenge wa mashabiki utopolo wa Tanzania.

Chris mugalu kacheza mechi ngapi bila kufunga nyinyi kuku? John boko msimu huu kafunga goli ngapi na kacheza mechi ngapi Nyinyi utopwinyo? Nyinyi gongo wazi huyo mayele alishawahi kufunga hat trick hapa TANZANIA nyinyi gongo nyonyo?

Muacheni Dejan acheze Mpira hata christian Ronaldo mechi mbili mpaka tatu anaweza asifunge, mkome kumbagua mzungu wa watu ,endeleeni kukuna Nazi wali upo jikoni
Naona kama umestuka kama MASIKIO YA NDAMA umemuliza semaji la caf kuwa alikuwa anamanisha nini siku ya simba day au wewe hukuwepo taifa ???
 
Mbna ulaya waafrika wanabaguliwa na hujawahi kutoa tamko humu we JENEZA FC?Unajikomba kwa wazungu unadhani wale ni wenzako?Miafrika mingine bhana hovyo kabsa.
Ukileta mfano mmoja tu wa Muafrika aliyebaguliwa halafu humu ndani wakakaa kimya nipigwe BAN.
 
Acheni upuuzi nyie viongozi wa Simba sajilini Manzoki.

Kama hajakaa na timu kwa nini alipangwa mechi kubwa?

Mnapokea pesa za udhamini halafu mnaleta uswahili.Jinga sana veve
Kapanguse kinyesi huko.... Huyo Wanzuki amekaa na timu wapi hadi ukaona uzuri wake?
 
Hapa mbaguzi no.1 ni nani?
IMG-20220814-WA0010.jpg
 
Naunga mkono hoja, waafrika tuache ubaguzi,tungefanyiwa sisi kule ulaya tungelalamika sana
 
Haya mambo hays hadi offical page zimeandika mzungu
 
Attachments

  • 20220815_124255.jpg
    20220815_124255.jpg
    55.6 KB · Views: 7
Hivi Mtanzania angeenda kucheza Serbia halafu akaanza kusakamwa kama Dejan, je, tungesema Serbia kuna ubaguzi wa rangi?

Kitu ambacho huwa nakiona, Mzungu anajiamini sana mbele ya Mwafrika
 
Kabla ya serikali, uongozi wa simba unapaswa kukemea huu ujinga, ni kitu kibaya kabisa na si cha kistaarabu, lakini jambo la kujifunza klabu zinapotafuta watu wa kuwaajiri kazi kama anayofanya Ahmed Ally zitafute watu wazima (matured), maneno mengi anayosema Ahmed ni kama klabu yote ni watoto au watu wa umri wake, mizaha na utani ni zaidi ya kiwango..hafai kuendelea kuwa msemaji wa simba kabisa! Huo utambulisho aliofanya kwa kumuita Dejan "mzungu" alitakiwa arekebishe pale pale..hajui futbol, hajui sheria za futbol, hana exposure ya matukio ya futbol ni kama mhuni wa mitaani tu! Klabu yote inaonekana kama ya wahuni..viongozi wa simba wajitokeze kukemea ujinga huu uachwe, wamuite Dejan kwa jina lake!
wana simbaaaaaaaaaaaa...😂😂😂
 
Dejan ni machine ile, Inatakiwa aanze kabisa game ya kesho. Natabiri huyu mtu atakuja kuwa hatari sana hawa wakina mayele mbona watt tu
 
Hivi Mtanzania angeenda kucheza Serbia halafu akaanza kusakamwa kama Dejan, je, tungesema Serbia kuna ubaguzi wa rangi?

Kitu ambacho huwa nakiona, Mzungu anajiamini sana mbele ya Mwafrika
Uko sahihi kuhusu kujiamini sana mbele ya mwafrika.
 
Back
Top Bottom