TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

demi hili swala litafika pabaya litafika mpk ngazi ya familia,hapo bado sijaongea na mizimu shauli yako ...
Acha basi maneno mengi...fanya linalowezekana๐Ÿ˜€
 
Mleta mada mbona hizi picha hazina tofauti?
Mimi nilidhani demu akifanya upasuaji wa aina hiyo anakua na kiuno nyigu kumbe sio ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
 
Funguka...nini unataka. Be straight. Mambo hadharani leo
una zimwi wewe..? si nimekwambia nataka picha yako!. umesahau mara hii..?
hebu nitumie huko pm mi sina nia mbaya nawewe usijishuku!
 
una zimwi wewe..? si nimekwambia nataka picha yako!. umesahau mara hii..?
hebu nitumie huko pm mi sina nia mbaya nawewe usijishuku!
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… picha yangu hapo kwa avatar.
 
watu mnahangaika kupendezesha mwili, badala ya roho. 1 Wafalme 18:21 Naye Eliya akawakaribia watu wote akanena, mtasitasita katikati ya mawazo mawili hata lini? Bwana akiwa ndiye Mungu mfuateni, bali ikiwa baali ni mungu haya mfuateni yeye. Yakobo 1:8 Mtu wa nia mbili husitasita katika njia zake zote.

Mtafuteni Mungu, pendeni zaidi vipawa vya rohoni badala ya kuutumikia mwili na tamaa zake. Yesu Kristo anarudi, yu malangoni, heri wazifuao nguo zao katika Damu ya Mwanakondoo.
 
da!!!.....lakiniUTRUKI si taifa la KIISLAM wajameni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ