TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

Hivi siku nikifa mtasikitika?
Mi nitasikitika aisee japo hata sikujui zaidi ya kupishana majukwaanj.

Ndio maana nilipouona huu uzi ghafla nikajikuta nahuzunika mpaka niliposoma ndani ndo nikajua sio wewe.
 
Demi si ingewezekana basi Moderator (s) wangeboresha heading kuwa Demi wa UK maana hii thread lazima ilete taharuki kila inapofufuliwa

Halafu imewekwa kabisaa TANZIA.... tokea lini raia wa uingereza akafanyiwa tanzia Tanzania bana?

Mods hebu tafakarini hii thread maana kiafrika inabeba uchuro usiovumilika
 
Mwanamke wa Uingereza aitwaye Demi Agoglia (26) amefariki dunia siku chache baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza shepu (BBL) nchini Uturuki, Magazeti ya Uingereza yameripoti.

Demi ambaye alikua Mkazi kutoka Jiji la Manchester alipata mshtuko wa moyo saa chache kabla ya kuanza safari yake ya kurudi nyumbani Uingereza ambapo Mume wake alimpatia huduma ya dharura ya CPR kabla ya kumpeleka Hospitalini lakini jitihada zake hazikuzaa matunda.

Inaelezwa kwamba kiwango cha vifo vinavyotokana na upasuaji wa kuongeza makalio (BBL) ni kifo kimoja kati ya kila Watu 3000 ambapo upasuaji huo wa BBL ndio upasuaji wenye kiwango cha juu zaidi cha vifo vilivyorekodiwa kuliko upasuaji mwingine wowote wa urembo.

Upasuaji wa kuongeza makalio unakadiriwa kugharimu £3,500 (Tsh milioni 11.1) nchini Uturuki lakini hadi £10,000 (Tsh milioni 32) nchini Uingereza huku utafiti ukionesha kuwa ndio upasuaji hatarishi zaidi kuliko upasuaji mwingine wowote wa urembo.

Chanzo: Millard Ayo
View attachment 2868375
Si angevaa matambara mengi tu
 
Demi si ingewezekana basi Moderator (s) wangeboresha heading kuwa Demi wa UK maana hii thread lazima ilete taharuki kila inapofufuliwa

Halafu imewekwa kabisaa TANZIA.... tokea lini raia wa uingereza akafanyiwa tanzia Tanzania bana?

Mods hebu tafakarini hii thread maana kiafrika inabeba uchuro usiovumilika
😅😅😅
 
Mods wameona imekaa sawa😅
 
Back
Top Bottom