Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Afadhali nimepata feeling siku nikifa watu watareact vipiš
Uishi miaka mingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali nimepata feeling siku nikifa watu watareact vipiš
Na ndio lengo la mleta mada kupasua mioyo yetu shenzy zake kabisaš„²
AmenššUishi miaka mingi
Nini umeelewa na wewe?Uko vizuri nimeelewa š¤£
Mwambie arelax nothing is serious hereAkiona tu bhaaas salam zimefika.
Nkajua umeenda kuongeza shape bila kunchukua na mimiNini umeelewa na wewe?
Tutakuletea Winston kaburiniHivi siku nikifa mtasikitika?
Aelewe pia,ukifa nami nimekufa.Mwambie arelax nothing is serious here
Mkuu Demi pole sana.Hivi siku nikifa mtasikitika?
Kwakweli binafsi niahuzunika ingawa sukujui wala hunijuiSiku nikifa utalia?
Kaamua kuchangamsha gengešMkuu Demi pole sana.
Huyu jamaa amenishtua sana.
Duuu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Shape yako imejitosheleza.. Ya kwangu badošNkajua umeenda kuongeza shape bila kunchukua na mimi
Uzuri kuzurika...
Huyo si wewe,ni lipopo limoja tu toka Naija hata huko uingereza kazamia tu,hakuna mzungu anaongeza matako Turkey.Kama naona comments zenu za kuninanga zitakavyokuwa nyingi
Uzuri kuzurika...