Nimekuwa inspired na Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi..mzee wa twashwishwi.Umetumia kiswahili cha ndani ndani sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu kwenda hukoo[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!unajishaua eeehhh!!!Hivi kumbe mnatafunana kimya kimya wanajukwaa [emoji2960] dis iz seriaz!
Mpk wewe wajifanya mgeni?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe kuna kufaidi mema humu? Sasa mbona sisi imekuwa holla enzi na enzi.[emoji23][emoji23]hawa wadada nishawajua, wakiona kaumri kamesonga kidogo wanapandisha vioo. Sisi wa age yetu ndio basi tena[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1787]
Exactly yaani pembe La ng'ombe halijifichi asilani.Huwezi kuficha hati yako[emoji28]! Yani mtu aliekuzoea anajua tu huyu ni flani[emoji28]
Halafu msg zako za mwanzoni ulizoquote watu zasomeka username ya zamani hapo ndo watu wanakujua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi kumbe sikubadilisha ID ni username tu, ndio maana nilikamatika hivi kirahisi!
Hata nyuzi zake binafsi zilikuwaga hivi hivi... Nilimpika mwenyewe[emoji23]Uzi unatembea balaa..
Hivi ulikua hujui babu or?!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]acha bassi..the same person bwanaa!ushamtongoza mara 2 nini....!!![emoji125][emoji125][emoji125]Lord have mercy
Mbitiyanza ni Manengelo kumbe?
Hivi mimi nimelogwa au naota?
Mbona mi mgeni sana hapa!!Mpk wewe wajifanya mgeni?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe ndio ulikuwa na Id ya mguu umechorwa tatoo inaitwa reynavero kama sijasahau?Hivi ulikua hujui babu or?!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]acha bassi..the same person bwanaa!ushamtongoza mara 2 nini....!!![emoji125][emoji125][emoji125]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
NdiwooooππKwahiyo mmeamkia hapa hapa π
Mimi nimeweka na kiti kabisa. Nasema leo nimefika ile mahali ubuyu upo nasema sitoki hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo mmeamkia hapa hapa [emoji23]
Ni kweli nshakumbukaMmechamganya madesa bila shaka, habari za kifo Cha huyo Mpauko zililetwa na mtu tofauti na huyo wangari
Endelea kuchukua darasa πNdiwooooππ
Yeah muhimu hilooπEndelea kuchukua darasa π
πππ ubuyu wa Zanzibar kabisa.Mimi nimeweka na kiti kabisa. Nasema leo nimefika ile mahali ubuyu upo nasema sitoki hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Yaaani Demiss alikua ananifurahisha sana. Sema angerudi tu bwana na ID yake[emoji23][emoji23][emoji23] ubuyu wa Zanzibar kabisa.
Nimemmiss sana Demiss na ma ubuyu yake ' mara member mwenye kipara, member wa milioni 1 chagua hotel utakayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila humu ndani [emoji3][emoji3]
Mzee wa mia kendaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7]Nimekuwa inspired na Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi..mzee wa twashwishwi.
Humu unaweza jifanya uko sirini kumbe uko uchi kabisa. Watu wabad sanaChuma alichompiga nacho hiki hapa.
_____
comment yangu,sijataja mtu,ila umejishitukia kuwa hizo ndiyo tabia zako,sasa ngoja nikupe ushaidi!
Wewe binti ni mtu wa ajabu sana! Nikianza kukuanika upuuzi wako hapa tunaweza kukesha!
Mimi nakujua kupitia kwa rafiki yangu mmoja hivi yuko dsm! Mara ya kwanza kabisa mlikutana morogoro sehemu moja inaitwa 88,mara ya pili mlikutana kibaha,mara ya tatu dsm! Huyo jamaa ni polisi lakini ana kazi nyingine, ana gari nyeusi aina ya Kluger, Na alikua anakufatilia kuhusu upuuzi wako wakuitukana serikali,na walipoona your not a threat walikuacha tu! Tena mara ya kwanza walikuita kule nane nane,kwenye majengo ya ufichoni sana,bila kujua na wewe ukaenda kweli! Jamaa alikufirimba na mwisho wa siku,akakuuliza gari umeacha wapi,mara ohh sijui gari imeisha mafuta nimeacha sehemu furani!
Basi yule bwana alipokuona huna maana alikuacha,akampa rafiki yake number zako,wewe si ulikua unatumia line ya tigo ya 0713 inaishia na 96?? Yule jamaa alikupigia simu,mkaongea then ukaomba nauli utumiwe kwamba ukimaliza kufua,utaenda,ukala pesa za watu bila hata ya kwenda! Ukaomba pesa za birthday ya mtoto wako! Ukatumiwa! Leo hii unaleta shobo hapa!
Kila siku unajifanya una maisha ya maana,kumbe choka mbaya tu,unashindwa kulipa hadi pesa za house girl wako,nyumba unaishi hata haijaisha,ndoa yako migogoro kila siku,shule hukumaliza,ulipigwa mimba,huyo kaka alikuacha sababu ya vituko vyako!
Eti nina mashimo ya migodi kakola! Hivi huoni hata aibu kudanganya,watu walishaanza kufatilia nyendo zako toka zamani,huna cha mashimo wala nini,Baba yako alikupa pesa ili walau mtoto wake usipate shida mjini,ukaenda kununua hivyo vifusi vya mchanga huko mgodini,uwe unasaga mawe, biashara haikuenda vizuri,mkafunga na hamkupata pesa hata kidogo,ULIVYO WA HOVYO,ukaenda kudanga kwa jamaa mmoja siwezi mtaja jina,naye biashara ikabuma,ukarudi nyumbani huna hata mia!!
Jamaa yangu juzi kakuona pale stand msamvu,huna mbele wala nyuma! Halafu eti unajitia fyoko fyoko hapa! Huna lolote wapige kamba wasiokujua! Na sasa hivi una number ya Airtel na halotel! Mme wako alishakufumania mara kibao,alishawahi kukupiga nusura ufe! Hebu acha shobo tukutunzie heshima yako! Watu walishaenda hadi kwenu ifakara kwa baba yako Mzee Ben! Naomba niishie hapa!