Demiss amepotelea wapi?

Shost akee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Demiss mgogo, mimi Mmeru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni KAS to KUS hiyo.
Umetoka
Katiti
Malula
Samaria
Sura
King'ori
Maji ya chai
Imbaseni
Nkokashu
Nkoaranga
Kilala

Someli
Au
 
Haya maisha yanahitaji unafiki ili kwenda sawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukienda kwa a unampamba ulienda kwa z unampamba pia
 
Unazoom[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla haujarudi nitumie basi na mie niwe wa mwisho, namba ni moja tu muamala ni mmoja....hata usipotuma na tozo mi sina tatizo
Wee mkongwe mwenzangu huwezi nichuna kirahisi

Hebu badili ID afu unjjaribu. Usisahau kuweka avatar yenye sura nyororo

Usihangaike kuweka chura, maana chura hata mbuzi anayo... tena na mkia kauweka juu tuiangalie tutakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…