Demiss amepotelea wapi?

Kujuana sio mbaya. Ila mtakayoendeleza baada ya kujuana ndo ya kuwa makini nayo.
 
Embu mtaje jamani anifanyie muamala mkweo nimefulia.
 
Kuna visu km mzigua,dinazarde weeeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hao wanaosema wabaya wanawake wa humu sijui ht wamewatoa wapi...!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mkwe unataka tu nianze kuringa wanilipue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo nasema ni watoto mnawavulia nguo! Unategemea afanye nini? Bado wana utoto mwingi
 
Nahuo ndo Uungwana ma ukomavu...kama kutoa papuchi, toa Kwa ID hii hii.


Ila usitoe Kwa Watoto wa mbwa kama ulivyosema.
[emoji1][emoji2][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we fala Sana'a....ntoe kwa I'd hii hii...

Kwani hua tunawajua baasi!! Wanakuambia sura sio moyo...!ukijichanganya tu umetoa kimasiharaa kesho wanakublast!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
I'd yako unatakiwa uijue peke yako ili uwe huru!
kuna memba alisha wahi kusema yy kama anataka kuweka password ili aingie jf anahakikisha hata mbu hayupo mgongoni mwake
 
Kuna Sura zingine ukijipa muda tuu kuisoma, utajua tuu hapa nitatangazwa..

Maana Sura unakuta haina Nuru, Sura mbovuu.


Ndio maana wanakimbizana kuja kujichora humu, ili waonekane nao wamo..
Kwa taarifa yako wengi wenye sura mbovu wana utu na huruma sana
 
Ntakutafuta, nina zawadi yako mchumba

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…