Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...Mungu anilinde Mimi mwenzenu kaahh!!yaani nawaza wa kunilipua Mimi kati ya wale ni nani?!![emoji2][emoji2][emoji2]siongezi watu tena wanaonijua wanatosha naogopa balaa...!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kujuana sio mbaya. Ila mtakayoendeleza baada ya kujuana ndo ya kuwa makini nayo.
 
Daahh!haya mambo yapo sana mbona humu...!!Mimi nishakutana na watu wengine washkaji sasa hivi,kuna mmoja ndo amekua km ndugu yangu baba ana moyo wa dhahabu ht papuchi hataki mwaka sasa na nusu[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]na hajawahi ht kuomba ila sasa nikifulia muamala twitwii....!!!simtaji wajuba wasije wakamzamia bureeee!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Embu mtaje jamani anifanyie muamala mkweo nimefulia.
 
Kuna visu km mzigua,dinazarde weeeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hao wanaosema wabaya wanawake wa humu sijui ht wamewatoa wapi...!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mkwe unataka tu nianze kuringa wanilipue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siwaelewagi asee mnachukuliaje swala la kulana humu? 😂😂

Mie bana sioni cha ajabu as long as mlikuwa'tulikuwa wenyewe huko loji... Ila sasa kuna hawa mandezi wakila mtu humu ni anahisi Kama kashinda biko la M50, ni atafurukuta mpaka apate pa kulisemea.
Ndiyo nasema ni watoto mnawavulia nguo! Unategemea afanye nini? Bado wana utoto mwingi
 
Nahuo ndo Uungwana ma ukomavu...kama kutoa papuchi, toa Kwa ID hii hii.


Ila usitoe Kwa Watoto wa mbwa kama ulivyosema.
[emoji1][emoji2][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we fala Sana'a....ntoe kwa I'd hii hii...

Kwani hua tunawajua baasi!! Wanakuambia sura sio moyo...!ukijichanganya tu umetoa kimasiharaa kesho wanakublast!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Inauma kweli maana humu kuna watu wanajuana nje ya jf,au unapomuumbua mtu kwa kutaja habari zake huwezi jua may b ana ndugu zake humu...marafiki,hujui hao watu watamchukuliaje!?halafu sasa ujue hizo I'd fake lakini nafsi ,haiba na moyo ni vya halisi,ukisemwa ,kutukanwa kudhalilishwa inauma sanaa!asikuambie mtu!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
I'd yako unatakiwa uijue peke yako ili uwe huru!
kuna memba alisha wahi kusema yy kama anataka kuweka password ili aingie jf anahakikisha hata mbu hayupo mgongoni mwake
 
Kuna Sura zingine ukijipa muda tuu kuisoma, utajua tuu hapa nitatangazwa..

Maana Sura unakuta haina Nuru, Sura mbovuu.


Ndio maana wanakimbizana kuja kujichora humu, ili waonekane nao wamo..
Kwa taarifa yako wengi wenye sura mbovu wana utu na huruma sana
 
Tunakulanaaa mnoooo!!!!hivi mnategema jinsia ke na me zikimeet wasitiane?!!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji2]kwa utakatifu gani sasa?sema balaa linakuja ukiliwa na watoto wa mbwaa....utaomba poo mbona!!wahuni sio watu!!!
Ila kuliwa tunaliwa bwana wee! Sio siri humu watu wazima sote!Nile kibingwa jikatae....!!!iwe kimasihara au ya kupangwa ila mechi zinapigwa..viwanja vyote home and away!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ntakutafuta, nina zawadi yako mchumba

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom