Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kujuana sio mbaya. Ila mtakayoendeleza baada ya kujuana ndo ya kuwa makini nayo.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...Mungu anilinde Mimi mwenzenu kaahh!!yaani nawaza wa kunilipua Mimi kati ya wale ni nani?!![emoji2][emoji2][emoji2]siongezi watu tena wanaonijua wanatosha naogopa balaa...!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app