financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Maana yake ni safari ya kitu fulani ndiyo inaanza then mhusika mkuu anaishia njiani kwa sababu fulani.Maana ya huo msemo ni nini?
Ticha wetu huwa anautumia kama kutuhimiza kuzingatia kusoma hasa topic fulani anazoona ni compulsory kwa exams, anasema siku ya mtihani swali la kwanza tu hujui, unaishia njiani ama unafia kwenye maua🤪