Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Aliyepata nafasi ya kuscreen picha yake naomba anitumie PM. Nitampa Tshs 20000.
 
am not insane, ila kama kwako unaona ni sawa unaweza weka uzi ukijiachia ukiwa chumbani mkuu....

Na nikijiachia sitaki kuona watu waliojivika kofia ya kurekebisha watu.. wakinipigia kelele! Na kama kumfundisha ungemPM kistaarabu... mwambie sipendi hiki na hiki,,,,sio kum bully mtoto wa watu huku mmejificha kwenye kofia ya maudhui ya mada zake ..,
 
Nini kinaendelea huku wakuu uzi mrefu kweli.
 
Of course nakubaliana nawe kwa yote hayo.. hafanyi poa kuyaanika mambo yake humu tena ambayo haya make sense mbele za watu (kupost picha uko gesti)
Ila mm point yangu ipo pale kuna watu wanamsema kua sijui maumbile yake yapoje.. hapo ndio natofautiana nao.
Ila siungi mkono anayo yafanya hasa kama hili alofanya leo. Ni utoto na upumbavu
 
location anapoenda kuliwa si ndio?? na si mara moja kuna nyuzi zake nyingi anajisifia anajiuza...

Kama nilivyokuambia angekuwa hapati followers..character yake humu ingeshakufa naturally...jifunze kuwa tolerant..humu kuna watu mbalimbali...usi espect wote tuimbe hallelujah humu...na kama genuinely unaona anakosea..ungemfata kistaarabu,
 
Keshaonywa tatizo ana mdomo mchafu sana...
Ila kwa kuwa huwa mnawasiliana ni vyema ukamkanya mdogo wako, vitu anavyofanya sio poa kabisa..

Sio powa nachoni pako, katika wadada humu ambao wakiposti vitu...thread zao zinakimbia...Demmis ni mmoja wao... sasa vitu angekua ana post ni vitu visivyo stahili kuwepo hapa then Max angeshamshughulikia ...wacha uonevu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…