publito
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 571
- 662
Huo ni mtori au mbege?Dahhh....
Ama kweli Mungu anaubaguzi sana wallah..View attachment 1189064
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mtori au mbege?Dahhh....
Ama kweli Mungu anaubaguzi sana wallah..View attachment 1189064
Aliyepata nafasi ya kuscreen picha yake naomba anitumie PM. Nitampa Tshs 20000.
am not insane, ila kama kwako unaona ni sawa unaweza weka uzi ukijiachia ukiwa chumbani mkuu....
am not insane, ila kama kwako unaona ni sawa unaweza weka uzi ukijiachia ukiwa chumbani mkuu....
Ahahahhaha nimecheka mpaka machozi
Nyinyi munazingua mbona kama yupo ktk hao 3 wote nivyombo vyamaana au mi ninamakengeza nini?
Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.
Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo
Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na maendeleo.View attachment 1188840View attachment 1188842View attachment 1188843View attachment 1188844
Nliiscreenshot..ngoja nkutumie bure tu.Aliyepata nafasi ya kuscreen picha yake naomba anitumie PM. Nitampa Tshs 20000.
Fungua uzi mkuu, najua huwezi kujiachia kama huyo mtoto your mature enough.
Shunie akee huyu mrembo mzuri mzuri ni yeye ama avatar tuuWamefuta post zangu mrembo mzuri mzuri
Halafu nakupendaga tu mambo zako nakufananisha na huyu chizi langu Mother Confessor
Ni uji wa mtama chief....Huo ni mtori au mbege?
ni yupi mkuuNyinyi munazingua mbona kama yupo ktk hao 3 wote nivyombo vyamaana au mi ninamakengeza nini?
mkuu fanya mambo PM fasta aisee kabla huu ubuyu haujapoaNimeku PM mkuu..
Of course nakubaliana nawe kwa yote hayo.. hafanyi poa kuyaanika mambo yake humu tena ambayo haya make sense mbele za watu (kupost picha uko gesti)Mkuu, huwa nakuheshimu sana ila twende kiuhalisia. Je ni sahihi kila unapoenda kulala na mwanamke ututaarifu humu ndani?
Naona umeandika we are bullying her, lakni kiuhalisia ni tabia yake mbovu ya ku post vitu vyake vya chumbani akiwa na mabwana ndio imepelekea haya yote.
Inaonekana alikosa malezi fulani kwenye familia yake au bado utoto unamsumbua? hata kama ni kutafuta umaarafu humu ndani si kwa kupost vitu negative kama hivyo anavyoenda kubanduliwa...
She is insane..
location anapoenda kuliwa si ndio?? na si mara moja kuna nyuzi zake nyingi anajisifia anajiuza...
Hahahaha anatumikia kwanza 70k ya chumba,bado alichokula na ya kwake hapo kwanin nisimpakie congo dustAtarudi tu tumvumilie kidogo kwasasa anapiga sarakasi zote
Keshaonywa tatizo ana mdomo mchafu sana...
Ila kwa kuwa huwa mnawasiliana ni vyema ukamkanya mdogo wako, vitu anavyofanya sio poa kabisa..