Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Pole Kwa kuona alichopitia mama. Nakazaa. Sijali hata wanaosema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Insta babe una nini lakini na mbavu zangu state na south na mm wapi na wapi

Au lengo lako unawatisha watu hutaki nipate mbebez nimeshaona hutaki shemeji wewe huku jf wakiona hivyo wataniogopa kumbe naishi zangu uswahilini kwetu tandale kwa tumbo
ndioo maana insta babe huku hujiachii kama kule insta eeeeh

mapicha ya south mara state kumbe huku unaogopa kuyapost sababu ya watu kama hawa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ me mwenyw zile post kule ziliniogopesha mwanzo ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Safi, live your life to the fullest..... Maisha ni mafupi sana yapasa tuyafurahie, uwe na pesa ama usiwe nayo, usipokuwa na mke/mme au girlfriend/boyfriend uwe na elimu usiwe nayo, mzima au mlemavu.... Just celebrate life, pumzi ni zawadi... Kuna wengine huenda tukafa hatuna watoto, furahia kuwa na mtoto wala usimwonee aibu mtu, it's your life.
 
Yeeey. Niache kuishi kisa MTU anasema kweli? Sio Mimi kabisa.
 
Yaan jf pekee single mom anaonekana kitu cha ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…