Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Kwa mdada kama Sky eclat, kumuuliza maswali ya kipuuzi kama hayo ni kujidhalilisha mwenyewe.

Huyu dada yuko smart kichwani, ni mtani wa watu, mcheshi na hajiskii kabisa(simple).

Hivi unawezaje ukawa na tatizo na mtu kama huyu??

Nadhani mtoa mada ni wivu tu na umasikini ndo unaokusumbua.

Kwani ulishawahi kuwafata PM ukawauliza vimaswali vyako vya kimasikini wakashindwa kukujibu mpaka uje kuanzisha uzi wa kipumbavu??

Haya ukishapata majibu ya maswali yako, itakusaidia nini??

Usipende sana kujipendekeza kwa watu usiowajua, watu tunawapenda uliowataja na tunawaheshimu na tunafurahi sana tuwaona online kila mda.
 
Hao ni wadangaji sugu wanadanga pale Kinondoni Makaburini wakiwa wanasubiri wateja nanaona sio mbaya kuingia JamiiForums kuangalia taarifa
 
 
Ahsante
 
Amu ni nani huyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…