Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Balaa...kama zoteee!!!Vzr pia ,huwa inasaidia ,ila mbio unazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaa...kama zoteee!!!Vzr pia ,huwa inasaidia ,ila mbio unazo?
Basi uko vzrBalaa...kama zoteee!!!
Hahaaaahaaa!!!Basi uko vzr
Hahahaha laana ya mama imemvaa. .hadi kuchanganyikiwa kufuatilia ya wengineHahaha nawatakia jumapili njemaView attachment 889181
Asante ni uzi mzuri nimeupenda sana lakin mm wananionea kabisa jaman siku hizi namaliza week sjaingia hukuu
Ila napenda jinsi mtu anataman awe mimi[emoji23][emoji23]Hajui tu kerooo ninazokutana nazoo
Hahahaaaa jamanii!!huyu anawapenda kiana huyuuAsante ni uzi mzuri nimeupenda sana lakin mm wananionea kabisa jaman siku hizi namaliza week sjaingia hukuu
Ila napenda jinsi mtu anataman awe mimi[emoji23][emoji23]Hajui tu kerooo ninazokutana nazoo
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mleta mada wewe ni mshakunaku huko mtaani utakuwa unasutwa
Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?
Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.
Khaaa!!!!
AhsanteKwa mdada kama Sky eclat, kumuuliza maswali ya kipuuzi kama hayo ni kujidhalilisha mwenyewe.
Huyu dada yuko smart kichwani, ni mtani wa watu, mcheshi na hajiskii kabisa(simple).
Hivi unawezaje ukawa na tatizo na mtu kama huyu??
Nadhani mtoa mada ni wivu tu na umasikini ndo unaokusumbua.
Kwani ulishawahi kuwafata PM ukawauliza vimaswali vyako vya kimasikini wakashindwa kukujibu mpaka uje kuanzisha uzi wa kipumbavu??
Haya ukishapata majibu ya maswali yako, itakusaidia nini??
Usipende sana kujipendekeza kwa watu usiowajua, watu tunawapenda uliowataja na tunawaheshimu na tunafurahi sana tuwaona online kila mda.
Amu ni nani huyuuuMimi peke yangu ndo mpaka sasa ndo naijua main id ya mleta mada ila hao wote uliowataja ni wapole, wastaarabu hawajui kuchamba hawana maneno hata ila ungewataja wakina fudenge na ninavyokujua mleta mada mngechambana balaa ingekuwa bonge moja la movie.
Ila hao hata ukiwatia kidole cha jicho wananyanyuka wanaendelea na yao.
Walev Wa jf utawajua tu jinsi wanavyojitetea
Eeeh kumbee nifungulie codes basi DonTarget hukuwa wewe, umeingia ili isiwe list ya mtu mmoja.
Pole ndugu.
Uwiii kumbee basi aseme tuanze kaziHahahaaaa jamanii!!huyu anawapenda kiana huyuu
Wengi wao wapiga dili tu!Mkuu kila mtu hapa duniani na maisha yake...huwezi jua pesa wanatafuta mda gani,as long as hawakuombi wewe acha kila mtu aishi anavyojiskia
Hahahhaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]