Nikatae na wewe ili muwe watatu kabisa... ndo ujue dawa ya Handeni inalipa. Sky Eclat hakuniokota TandaleKwa leo tu, tena kwenye uzi huu huu nimeshuhudia ukikataa mboga 2 murua kabisa zilizojileta kwako. Hakuna wa kuniaminisha tena kuwa wewe sio joka la kibisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wee mdogo?[emoji848]Acha wafaidi,si wakubwa
Mkuu mm siwezi kujuaMkuu si ntauweza au unaonaje
Sana tu ,hahahahaKwani wee mdogo?[emoji848]
Umenitelekeza tangu tulivyotoka kwa wahisani wetu[emoji9]
Asante kwa maneno. Ngoja nifanye mambo; sasa na wewe tupia maneno upande wa pili huko. Naona mna ushosti haswa[emoji4]Kwavile waswahili wanasema kuwa ukisusa wenzio wala, basi jichukulie hao aliowasusa babu
Siri ya mtungi, aijuae kata.[emoji23][emoji23][emoji23] Hakika atakuwa anajivunia kuwa na wewe. Maana umekolezwa ukakolea
Ewaaaa nilitaka utangazie umma jambo hili ili wajue kuwa weekend yangu ilikuwa murua nikiwa nawe.Ha hhaa kwani weekend hii si umeshinda kwangu na umeondoka leo!? Emb acha hizo au unataka nije niache kijiwe?
[emoji40][emoji40][emoji119]Siri ya mtungi, aijuae kata.
HahahahaEwaaaa nilitaka utangazie umma jambo hili ili wajue kuwa weekend yangu ilikuwa murua nikiwa nawe.
Wifi tafadhali usinionee gere[emoji23]
Usijali ukikua na wewe utafaidiMkuu mm siwezi kujua
HahahahaUsijali ukikua na wewe utafaidi
Ewaaaa nilitaka utangazie umma jambo hili ili wajue kuwa weekend yangu ilikuwa murua nikiwa nawe.
Wifi tafadhali usinionee gere[emoji23]
Hahahaha
Naona ulikuwa kimyaa kama haupo!
Hahahaha, Mkuu mm nipo nasoma mambo yenuNaona ulikuwa kimyaa kama haupo!
Acha waisome namba eeeh.....Nimepanga kuanzisha thread kesho bibie,
Kuwa na amani.......!
Afu j5 nakuja mie!
Mipango ya pingu iendelee
Acha waisome namba eeeh.....
Mimi nawe mbele kwa mbele![emoji8]
Umeona eeeh!