Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nikatae na wewe ili muwe watatu kabisa... ndo ujue dawa ya Handeni inalipa. Sky Eclat hakuniokota TandaleKwa leo tu, tena kwenye uzi huu huu nimeshuhudia ukikataa mboga 2 murua kabisa zilizojileta kwako. Hakuna wa kuniaminisha tena kuwa wewe sio joka la kibisa [emoji23][emoji23][emoji23]