Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Ndo maana sijachukia hata. Mi MTU akinikubali Kama huyu mama napenda. Ndo maana hajanikwaza japo kuna vingine kaviweka Kama hater vile.
Hapo chacha.
Asikaushe watu vizazi.

Afu ile kitu mbona kimya?
Lini una nafasi we mdada twende kuleeeee...
 
Kazi zao ziko humu JF,

hapa ndipo ajira zao ziko humu,

kula yao inategemea humu,

waume zao wako humu,

Watoto wao wanakula kwa kutegemea wanaume wa humu.

Bilashaka umepata mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…