General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ila mleta mada mchokozi sanaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],
Kaleta madaa afuu huyooo kapoteaa...
Kaleta madaa afuu huyooo kapoteaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo chacha.Ndo maana sijachukia hata. Mi MTU akinikubali Kama huyu mama napenda. Ndo maana hajanikwaza japo kuna vingine kaviweka Kama hater vile.
Ningecomment hapa, sema we hater wangu.Ila mleta mada mchokozi sanaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],
Kaleta madaa afuu huyooo kapoteaa...
wala siwezi kumaindi, humu kuna majungu mengi sana huwezi kukwepa loloteIla nawe ipo siku utafunguliwa nyuzi.
Kila comment upo.
Hahahhahaha shangaa mySasa huwaga unawaona saa ngapi?
Asantewala siwezi kumaindi, humu kuna majungu mengi sana huwezi kukwepa lolote
Ningecomment hapa, sema we hater wangu.
Tangu kipindi cha mada ileeeee ya ukumbi wa Mwika Sinza
AhahahahahHahahhahaha shangaa my
Online nasaka mahelaaaaaChamdreeeeeeekoooooo
Kama kawaida.Mi ni hater na umasikini...
Vipi Shughuli yenu, inakwenda vema?
Na hivi huwaga hujali sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Online nasaka mahelaaaaa
Jf mm naipenda jaman sababu inanipa mahela siku hizi mm tajiri tu Jf mihela kama yoteAhahahahah
Kaa online mwayaa upate mihelaaJf mm naipenda jaman sababu inanipa mahela siku hizi mm tajiri tu Jf mihela kama yote
Kama kawaida.
Tunasubiri kudamshi tu siku hiyo.
Pombe na misosi kama yote
AkhaNikupe Mwaliko??
Yetu sisi ya kibabe,
Mbuzi 3, pombe kama zotee,
Mziki mnene,
Afu inafanyikiaa porini (outdoor),
Kizungu yaniiiii
Ila lzm uwe couple,
Mana itakuwa madhambi tupu
Sasa Kama unajua ni kazi kwa nn umesema niache dharau?Acha dharau.
Kwani baamedi sio kazi.