Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Sikujua kama haya mambo ni siriazi mkuu. Nilifikiri utani. Basi nisamehe. Hutanisikia tena. Nakuheshimu sana pia. Na King of Msata too. Samahani sana kama nimewakwaza - love birds !!!
Nashukuru kwa kuelewa nilitaka kushangaa sana heshima kwako
 
Siamini kama Umeandika Unachokijua au Umeamua kuchangamsha Jukwaaaaaaaaaaaa... Ila Ukuta unaficha mengi Basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…