Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo tayarupendo wapi wewe huyu bwana amekuchezea shtuka.. utabebeshwa tunguli mpk akili ikae sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo tayarupendo wapi wewe huyu bwana amekuchezea shtuka.. utabebeshwa tunguli mpk akili ikae sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usjali kwa hiloNenda naye hadohado usimvunje mgongo mambo yako yanaelewekaa[emoji23]
Na itulie hivyo hivyoMjini kuna vya watu, roho yangu tulia
Nashukuru kwa kuelewa nilitaka kushangaa sana heshima kwakoSikujua kama haya mambo ni siriazi mkuu. Nilifikiri utani. Basi nisamehe. Hutanisikia tena. Nakuheshimu sana pia. Na King of Msata too. Samahani sana kama nimewakwaza - love birds !!!
Hata niwe msukule nipo tayaridah demiss umenikataa mimi umeenda kuwa msaidizi wa mganga kweli
Siamini kama Umeandika Unachokijua au Umeamua kuchangamsha Jukwaaaaaaaaaaaa... Ila Ukuta unaficha mengi Basi sawaAm so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
Ndio yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyuhuyu kitumbua kitamu aliyemzimisha bonge?
Mrs JrSiamini kama Umeandika Unachokijua au Umeamua kuchangamsha Jukwaaaaaaaaaaaa... Ila Ukuta unaficha mengi Basi sawa
bora umekubali maana uki collide na huyu jamaa kwa demu anakufanya kitu mbaya husimamishi tena hahaaaNimekubali, ntakwita shemeji...."shemeji eee, shwmwji shemejiii eee???"
Mwenye nguvu mpishe!!bora umekubali maana uki collide na huyu jamaa kwa demu anakufanya kitu mbaya husimamishi tena hahaaa