Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua kama haya mambo ni siriazi mkuu. Nilifikiri utani. Basi nisamehe. Hutanisikia tena. Nakuheshimu sana pia. Na King of Msata too. Samahani sana kama nimewakwaza - love birds !!!Mkuu umepita comment zote hii ya kinafiki umeifurahia nakuheshimu sana ujuee
Mbona hasira dada ndugu?? Ama wivu [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Demiss ndio nani?
Ila lazima ujiheshimu na umri wako. Kwani ni lazima kutangaza kuwa unamla fulani? Usifanye mambo ya viBen10 (wageni wa mapenzi). Fanya kimya kimya kama mtu mzimaAm so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!