Democracy index 2021: Kenya lags behind Tanzania

Democracy index 2021: Kenya lags behind Tanzania

Hii haina maana yoyote, Kenya 🇰🇪 kuna demockrasia gani zaidi ya ukabila? Saizi wanamzunguka Ruto kwa njia ileile ya ukabila.....definition ya demockrasia haiwezi kuwa objective, ni subjective
Unajua maana ya demokrasia kweli wewe ama ni kupayuka tu? No wonder you can't even spell the word correctly!
 
Siuji mijitu itajificha wapi leo

Duu, yaani kelele zote zile ndiyo hiki walicho ambulia.

🤣🤣🤣
 
Kenyans always brag about implementation of right of freedom of speech which is enshrined in their current constitution unlike Tanzanians who are deprived of such right. Freedom of speech is the foundation of democracy in any civilized state, how they fall that far in rankings despite fully enjoyment of above mentioned right?
 
Siuji mijitu itajificha wapi leo
Mimi siwezi kukubaliana na hii ripoti, tatizo watanzania hamjui English, na wewe mleta hii mada sio mkenya, wewe ni bongolala unayejifanya ni mkenya.

Kenya kuna katiba bora kuliko zote duniani, Kenya tuna Uhuru wa kujieleza, vyombo vyetu vya habari vipo huru kueleza lolote, iweje nchi inayoongozwa na Magufuli wametuzidi?
Tony254
@komora
Sinister
 
Khee! wajue sasa baba wa democracy ukanda huu ni Tz
 
Yaani wakenya ajenda yao kuu huwa ni kujilinganisha na Tanzania, kiasi kwamba wameiwekea paragraph separate kabisa.

"Kenya has been ranked position 95 globally and number 13 in Sub-Saharan Africa in the Democracy Index 2020 ratings, scoring lower than its neighbor Tanzania rated at position 93."

Mimi siwezi kukubaliana na hii ripoti, tatizo watanzania hamjui English, na wewe mleta hii mada sio mkenya, wewe ni bongolala unayejifanya ni mkenya.

Kenya kuna katiba bora kuliko zote duniani, Kenya tuna Uhuru wa kujieleza, vyombo vyetu vya habari vipo huru kueleza lolote, iweje nchi inayoongozwa na Magufuli wametuzidi?
Tony254
@komora
Sinister
Ipi, hiyo ambayo kuna wasiasa wanataka ibadilishwe kwa sababu imeunda vyeo vingi na ni mzigo kwa serikali? Katiba ambayo haijatumika hata miaka 15 unaiita bora?
 
Duu, yaani kelele zote zile ndiyo hiki walicho ambulia.

🤣🤣🤣
These rankings are meaningless

Because definition ya terms wanazotumia ni zilezile walizotumia kutupora utu

Anyways - we just need to define democracy Kwa our own terms
 
Back
Top Bottom