Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya demokrasia kweli wewe ama ni kupayuka tu? No wonder you can't even spell the word correctly!Hii haina maana yoyote, Kenya 🇰🇪 kuna demockrasia gani zaidi ya ukabila? Saizi wanamzunguka Ruto kwa njia ileile ya ukabila.....definition ya demockrasia haiwezi kuwa objective, ni subjective
Siuji mijitu itajificha wapi leo
![]()
The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Sijui maana mi siyo Mgiriki ,kujua demos and kratos siyo lazimaUnajua maana ya demokrasia kweli wewe ama ni kupayuka tu? No wonder you can't even spell the word correctly!
Labda wanaangalia pia wananchi wanapotoa kero serikali inashughulikia au la sio tu uhuru wako wako wa kuwasema viongozi wako.Wakenya wenyewe wanafikiri wakimtukana uhunye ndiyo democracy. 🤣🤣🤣
Tanzania ipo nafasi ya ngapi mkuu?Tulitegemea katiba bora ilete demokrasia makini. Chakushangaza, imeleta BBI.
🤣🤣🤣
Mmeumia kweli kweli, tuliwaambia kwa ss tumeshajua hila zenu so mtegemee maumivu ktk kila sector [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajua maana ya demokrasia kweli wewe ama ni kupayuka tu? No wonder you can't even spell the word correctly!
Tanzania ni nafasi ya kwanza ukanda huu wa EACTanzania ipo nafasi ya ngapi mkuu?
Mimi siwezi kukubaliana na hii ripoti, tatizo watanzania hamjui English, na wewe mleta hii mada sio mkenya, wewe ni bongolala unayejifanya ni mkenya.Siuji mijitu itajificha wapi leo
![]()
The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Khee! wajue sasa baba wa democracy ukanda huu ni TzMimi siwezi kukubaliana na hii ripoti, tatizo watanzania hamjui English, na wewe mleta hii mada sio mkenya, wewe ni bongolala unayejifanya ni mkenya.
Kenya kuna katiba bora kuliko zote duniani, Kenya tuna Uhuru wa kujieleza, vyombo vyetu vya habari vipo huru kueleza lolote, iweje nchi inayoongozwa na Magufuli wametuzidi?
Tony254
@komora
Sinister
Ipi, hiyo ambayo kuna wasiasa wanataka ibadilishwe kwa sababu imeunda vyeo vingi na ni mzigo kwa serikali? Katiba ambayo haijatumika hata miaka 15 unaiita bora?Mimi siwezi kukubaliana na hii ripoti, tatizo watanzania hamjui English, na wewe mleta hii mada sio mkenya, wewe ni bongolala unayejifanya ni mkenya.
Kenya kuna katiba bora kuliko zote duniani, Kenya tuna Uhuru wa kujieleza, vyombo vyetu vya habari vipo huru kueleza lolote, iweje nchi inayoongozwa na Magufuli wametuzidi?
Tony254
@komora
Sinister
These rankings are meaninglessDuu, yaani kelele zote zile ndiyo hiki walicho ambulia.
🤣🤣🤣