Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

Wewe inaelekea hata hujui historia ya dunia. Hao scandinavia walifaidika na utumwa wa wapi?

Sisi tumepata uhuru 1961 tunazidiwa na nchi za Ulaya zilizopita uhuru 1990?
Umesema ulaya na marekani unaweza kuitenga ulaya na marekani na mchango wa ukoloni na utumwa katika maendeleo yao ? Na je hiyo ndiyo demokrasia ?
 
Hizo nchi za Asia zimepita katika historia ya kutisha ya madikteta katika historia ya nchi zao
Taiwani imepitia udikteta ipi? Hongkong!

Japan baada ya vita kuu ya pili ilibaki magofu Mbona sasa wako mbali? Korea ya kusini wana historia Sawa na Korea ya Kaskazini. Tofauti tu ni siasa.

Nyie endeleeni kuamini Katika udikteta. Njia pekee ya kuwa tajiri ni kuwaibia wananchi.
 
There is no democracy in the world,,,,,If we want a true democracy,,,, let's us establish so that the world can learn from us.The war between Ukraine and Russia is that a democracy? Western nations one day should learn a true democracy from Africa.
 
Usa,Canada,ulaya,india
hizo nchi ulizo taja pia there's no democracy when it come usalama wa mataifa yao... kila nchi ina angles ambayo ikiguswa na yeyote ata kama ameifanyia vipi vyema serikali wanamu eliminate as a threat...

democracy ni wimbo mgumu kutekelezeka amini nakwambia...!​
 
Ile Ukraine utakuja kushangaa misja 20 ijayo wa kuchagua demokrasia.

Pamoja na kupigwa kule tutaenda kuomba misaada.
 
Taiwani imepitia udikteta ipi? Hongkong!

Japan baada ya vita kuu ya pili ilibaki magofu Mbona sasa wako mbali? Korea ya kusini wana historia Sawa na Korea ya Kaskazini. Tofauti tu ni siasa.

Nyie endeleeni kuamini Katika udikteta. Njia pekee ya kuwa tajiri ni kuwaibia wananchi.
Taiwan ilikuwa chini ya udikteta wa KMT chini ya Chiang Kai-Shek na mwanae kwa miongo mingi tu. Korea kusini iliweza pita mikono ya military dictatorship, Japan imefanya udikteta wa kifalme ndani na nje ya mipaka yake wakati wa mchakato wake wa maendeleo kuhusu Hongkong ilikuwa mikononi ya ukoloni wa Uingereza
 
hizo nchi ulizo taja pia there's no democracy when it come usalama wa mataifa yao... kila nchi ina angles ambayo ikiguswa na yeyote ata kama ameifanyia vipi vyema serikali wanamu eliminate as a threat...

democracy ni wimbo mgumu kutekelezeka amini nakwambia...!​
Kwani nani alikuambia demokrasia inahatarisha usalama wa nchi? Demokrasia Ina wali da Walii wengi kwa nguvu zote.
 
There is no democracy in the world,,,,,If we want a true democracy,,,, let's us establish so that the world can learn from us.The war between Ukraine and Russia is that a democracy? Western nations one day should learn a true democracy from Africa.
Duuh!
 
Taiwan ilikuwa chini ya udikteta wa KMT chini ya Chiang Kai-Shek na mwanae kwa miongo mingi tu. Korea kusini iliweza pita mikono ya military dictatorship, Japan imefanya udikteta wa kifalme ndani na nje ya mipaka yake wakati wa mchakato wake wa maendeleo kuhusu Hongkong ilikuwa mikononi ya ukoloni wa Uingereza
Unatafuta visingizio vyote ila ukweli uko pale pale. Kwanini Poland iliyotawaliwa na Warusi mpaka 1990 iwe na maendeleo kuliko sisi tuliopata uhuru 1961?

Kwanini Nchi zile za Yugoslovakia ya zamani ziendelee kuwa nyuma kuliko hata Romania?
 
There is no democracy in the world,,,,,If we want a true democracy,,,, let's us establish so that the world can learn from us.The war between Ukraine and Russia is that a democracy? Western nations one day should learn a true democracy from Africa.
na huu ndio ukweli...dunia hii ina wenyewe ukiwagusa hao wenyewe ndio utajua kama kuna democracy au akuna...ila haki na waambia hakuna democracy....!​
 
Back
Top Bottom