Wewe inaelekea hata hujui historia ya dunia. Hao scandinavia walifaidika na utumwa wa wapi?Ulaya,U.S.A hauwezi zitenganisha na ukoloni na utumwa sifikiri kama hivi ndivyo demokrasia ya vitabuni yasema
Jibu lako la swali nililo uliza ni lipi ?Kuna tafsiri pana za maneno haya: 1.Demokrasia. 2. Udikteta.3. Maendeleo.
Yote kwa yote, Chimbuko na Kiini cha Maendeleo ya kweli yaliyo endelevu ni Demokrasia na Elimu bora.
Hizo nchi za Asia zimepita katika historia ya kutisha ya madikteta katika historia ya nchi zao
ushasema demokrasia haileti maendeleo sasa mjadala wa niniTitle ina alama hii "?" Na ukisoma ndani pia unakutana na alama hii "?"
Ni wapi hapo nilipo toa hitimisho ? Mimi nilicho omba ni kujuzwa
Umesema ulaya na marekani unaweza kuitenga ulaya na marekani na mchango wa ukoloni na utumwa katika maendeleo yao ? Na je hiyo ndiyo demokrasia ?Wewe inaelekea hata hujui historia ya dunia. Hao scandinavia walifaidika na utumwa wa wapi?
Sisi tumepata uhuru 1961 tunazidiwa na nchi za Ulaya zilizopita uhuru 1990?
Taiwani imepitia udikteta ipi? Hongkong!Hizo nchi za Asia zimepita katika historia ya kutisha ya madikteta katika historia ya nchi zao
Hii alama "?" Katika sentensi ina maanisha niniushasema demokrasia haileti maendeleo sasa mjadala wa nini
Nimekuambia Eastern Europe wametawaliwa mpaka 1990, Mbona wameendelea?Umesema ulaya na marekani unaweza kuitenga ulaya na marekani na mchango wa ukoloni na utumwa katika maendeleo yao ? Na je hiyo ndiyo demokrasia ?
Usa,Canada,ulaya,india
Ile Ukraine utakuja kushangaa misja 20 ijayo wa kuchagua demokrasia.There is no democracy in the world,,,,,If we want a true democracy,,,, let's us establish so that the world can learn from us.The war between Ukraine and Russia is that a democracy? Western nations one day should learn a true democracy from Africa.
kiulizo na , inamaainisha nini ndg mwandishiHii alama "?" Katika sentensi ina maanisha nini
Taiwan ilikuwa chini ya udikteta wa KMT chini ya Chiang Kai-Shek na mwanae kwa miongo mingi tu. Korea kusini iliweza pita mikono ya military dictatorship, Japan imefanya udikteta wa kifalme ndani na nje ya mipaka yake wakati wa mchakato wake wa maendeleo kuhusu Hongkong ilikuwa mikononi ya ukoloni wa UingerezaTaiwani imepitia udikteta ipi? Hongkong!
Japan baada ya vita kuu ya pili ilibaki magofu Mbona sasa wako mbali? Korea ya kusini wana historia Sawa na Korea ya Kaskazini. Tofauti tu ni siasa.
Nyie endeleeni kuamini Katika udikteta. Njia pekee ya kuwa tajiri ni kuwaibia wananchi.
Kuulizakiulizo na , inamaainisha nini ndg mwandishi
Kwani nani alikuambia demokrasia inahatarisha usalama wa nchi? Demokrasia Ina wali da Walii wengi kwa nguvu zote.hizo nchi ulizo taja pia there's no democracy when it come usalama wa mataifa yao... kila nchi ina angles ambayo ikiguswa na yeyote ata kama ameifanyia vipi vyema serikali wanamu eliminate as a threat...
democracy ni wimbo mgumu kutekelezeka amini nakwambia...!
America,Denmak,Ufaransa,Denmark,, ya kusiniNaomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia ?
Duuh!There is no democracy in the world,,,,,If we want a true democracy,,,, let's us establish so that the world can learn from us.The war between Ukraine and Russia is that a democracy? Western nations one day should learn a true democracy from Africa.
hakuna democracy duniani kote amini nakwambia...!Kwani nani alikuambia demokrasia inahatarisha usalama wa nchi? Demokrasia Ina wali da Walii wengi kwa nguvu zote.
Unatafuta visingizio vyote ila ukweli uko pale pale. Kwanini Poland iliyotawaliwa na Warusi mpaka 1990 iwe na maendeleo kuliko sisi tuliopata uhuru 1961?Taiwan ilikuwa chini ya udikteta wa KMT chini ya Chiang Kai-Shek na mwanae kwa miongo mingi tu. Korea kusini iliweza pita mikono ya military dictatorship, Japan imefanya udikteta wa kifalme ndani na nje ya mipaka yake wakati wa mchakato wake wa maendeleo kuhusu Hongkong ilikuwa mikononi ya ukoloni wa Uingereza
There is no democracy in the world,,,,,If we want a true democracy,,,, let's us establish so that the world can learn from us.The war between Ukraine and Russia is that a democracy? Western nations one day should learn a true democracy from Africa.