Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali

Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali

Mjomba lugha mbaya "kumnyoa mtu kwa wembe ule ule" punguzeni mahaba kwa "mama" mtumie akili zenu kidogo.
Mama yako mzazi unaweza kumuongelesha kwa lugha ya aina hio? Au unahisi Samia hana watoto!?
 
Kuna kauli inayosema mtu ispomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake! Hii ina mantiki kubwa sana kwa watu ambao wanahisi wako salama katika kufanya vitendo vya kipuuzi kwenye jamii ili waonekane mashujaa!!!
Tatizo la jamhuri ya wajinga wenye mamlaka ni wapumbavu wasiotii sheria, ndio maana mtu wa aina ya Mdude anaetumia akili yake anadhuriwa na wajinga wenye mamlaka, halafu nyie washangiliaji wa wenye mamlaka mnashangilia.
 
Kuna kauli inayosema mtu ispomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake! Hii ina mantiki kubwa sana kwa watu ambao wanahisi wako salama katika kufanya vitendo vya kipuuzi kwenye jamii ili waonekane mashujaa!!!

Mdude na wenzake wa namna yake demokrasia haiwafai.

Kama demokrasia ni matusi basi angeanza Kwa kuwatusi wazazi wake.
 
Uzuri wa Mdude ni confidence aliyonayo, anaongea mawazo yake kwa uwazi na anatafuta platform sahihi.

Anatapotakiwa kujiweka sawa ni uwezo wa kujenga hoja kwa kutumia maneno ya busara. Akiwa na hivi viwili atakua kiongozi bora zaidi.
inawezekana kabisa huyu mkulya ana matatizo ya akili.
 
Siku nyingine uangalie chanzo cha tatizo badala ya kukimbilia kuangalia outcome.

Chanzo cha tatizo unafikiri sikijui???

Mdude anahoja nzuri lakini uwasilishaji wake ni wahovyo, sitegemei Kama atapewa majibu ya maana isipokuwa ya hovyo Kama alivyowasilisha.
 
Mnaompinga Mdude mna matatizo na mnafuata mkumbo. Wembe umekuwa tusi tangu lini? Au kama kuna tusi alilotukana tuoneshe.
 
Mkuu usije cheza na mwenye dola ata siku moja,kauli anazotumia mdude ni chafu na hazifai.mwenye kuona na aone na mwenye kusikia pia asikie

Mkuu sikubaliani na lugha zisizokuwa na staha ila isiwe mkuki kwa nguruwe:

1. Wabakie na m@vi yao
2. Tuwaue
3. Nk

Mdude alichosema ni "kutumia wembe ule ule kunyolea wengine."

Lugha hiyo inakubalika baina ya mahasimu wa kisiasa au hata kimichezo. Lugha hiyo imetumiwa na makada wa CCM sehemu nyingi.

Hii hapa unaiona je?

IMG_20210704_143127_720.jpg
 
Mkuu sikubaliani na lugha zisizokuwa na staha ila isiwe mkuki kwa nguruwe:

1. Wabakie na m@vi yao
2. Tuwaue
3. Nk

Mdude alichosema ni "kutumia wembe ule ule kunyolea wengine."

Lugha hiyo inakubalika baina ya
mahasimu wa kisiasa au hata kimichezo. Lugha hiyo imetumiwa na makada wa CCM sehemu nyingi.

Hii hapa unaiona je?

View attachment 1840614

Unafikiri watu wanashida na kauli ya juzi?

Kinachozungumziwa hapa ni huo wembe wake wa lugha ya matusi alioutumia Kwa JPM.
 
Magufuli alipokuwa anatukana wananchi kuwa wabaki na mavi yao nyumbani demokrasia inamfaa?
 
Niseme tuu kila nchi duniani kuna taasisi inaitwa DEEP STATE .. hawa huwa wanajua nini wafanye kwa wakati gani kwa maslahi Ya watawala ....
 
Back
Top Bottom