Kwahiyo wanohitaji Katiba ni wastaarabu kama wabunge wa CCM wanaotaka walipwe kwa dola kama mabunge mengine,wao posho ndio kipaumbele
Wakati wa vita dhidi ya ubaguzi wa Rangi, SA, Mzee Mandela, aliitwa Gaidi, wewe ungekuwepo kipindi kile, ungemuona Mandela sio "mstaarabu"kama Mdude
Ustaarabu gani tawala za CCM zimefanya tangu 1961? Escrow, Richmond, tuliambiwa maaadui ni watatu, Ujinga, umaskini, malazi, tukaambiwa Ili tuendelee tunahitaji, watu, siasa safi, na uongozi bora,
Watu wapo tangu 1961, vilivyokosekana ni "ustasrabu wa ccm.