Demokrasia kwako ni nini? Kukataa mikutano ya hadhara kinyume cha sheria? Inawezekana kwako hilo ndio unaona akili, hongera.Demokrasia ni nzuri Kwa watu wenye akili, hekima na pesa.
Demokrasia haifai watu wapumbavu, na masikini
Mjomba lugha mbaya "kumnyoa mtu kwa wembe ule ule" punguzeni mahaba kwa "mama" mtumie akili zenu kidogo.Kwa Chadema lugha anayotumia huyo kijana ndio lugha tukufu katika chama chao! Anapongezwa sana kwa kuharisha kwa kutumia kinywa
Mama yako mzazi unaweza kumuongelesha kwa lugha ya aina hio? Au unahisi Samia hana watoto!?Mjomba lugha mbaya "kumnyoa mtu kwa wembe ule ule" punguzeni mahaba kwa "mama" mtumie akili zenu kidogo.
Tatizo la jamhuri ya wajinga wenye mamlaka ni wapumbavu wasiotii sheria, ndio maana mtu wa aina ya Mdude anaetumia akili yake anadhuriwa na wajinga wenye mamlaka, halafu nyie washangiliaji wa wenye mamlaka mnashangilia.Kuna kauli inayosema mtu ispomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake! Hii ina mantiki kubwa sana kwa watu ambao wanahisi wako salama katika kufanya vitendo vya kipuuzi kwenye jamii ili waonekane mashujaa!!!
Alaah!, kumbe Samia anatupikia maandazi ikulu, nikadhani yupo pale kuongoza nchi?! Amkeni na mahaba yenu, habari za mama ziishie hukoMama yako mzazi unaweza kumuongelesha kwa lugha ya aina hio? Au unahisi Samia hana watoto!?
Demokrasia kwako ni nini? kukataa mikutano ya hadhara kinyume cha sheria? inawezekana kwako hilo ndio unaona akili, hongera.
Kuna kauli inayosema mtu ispomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake! Hii ina mantiki kubwa sana kwa watu ambao wanahisi wako salama katika kufanya vitendo vya kipuuzi kwenye jamii ili waonekane mashujaa!!!
Siku nyingine uangalie chanzo cha tatizo badala ya kukimbilia kuangalia outcome.Wapi nimesema hayo??
inawezekana kabisa huyu mkulya ana matatizo ya akili.Uzuri wa Mdude ni confidence aliyonayo, anaongea mawazo yake kwa uwazi na anatafuta platform sahihi.
Anatapotakiwa kujiweka sawa ni uwezo wa kujenga hoja kwa kutumia maneno ya busara. Akiwa na hivi viwili atakua kiongozi bora zaidi.
Siku nyingine uangalie chanzo cha tatizo badala ya kukimbilia kuangalia outcome.
Mkuu usije cheza na mwenye dola ata siku moja,kauli anazotumia mdude ni chafu na hazifai.mwenye kuona na aone na mwenye kusikia pia asikie
Hivi tunavozungumza Mdude ndo alama ya kishujaa ya CHADEMA.
Mnaompinga Mdude mna matatizo na mnafuata mkumbo. Wembe umekuwa tusi tangu lini? Au kama kuna tusi alilotukana tuoneshe.
Mkuu sikubaliani na lugha zisizokuwa na staha ila isiwe mkuki kwa nguruwe:
1. Wabakie na m@vi yao
2. Tuwaue
3. Nk
Mdude alichosema ni "kutumia wembe ule ule kunyolea wengine."
Lugha hiyo inakubalika baina ya
mahasimu wa kisiasa au hata kimichezo. Lugha hiyo imetumiwa na makada wa CCM sehemu nyingi.
Hii hapa unaiona je?
View attachment 1840614
Magufuli alipokuwa anatukana wananchi kuwa wabaki na mavi yao nyumbani demokrasia inamfaa?
Unafikiri watu wanashida na kauli ya juzi?
Kinachozungumziwa hapa ni huo wembe wake wa lugha ya matusi alioutumia Kwa JPM.