Chadema haiwezi kujilinganisha na CCM. CCM ilishapoteza mwelekeo siku nyingiKuna yule wa uvccm aliyetaka wapinzani kuuwawa. Yule mbunge mama mwingine aliyesemea bungeni kutaka mbunge wa upinzani auawe.
Vipi yule aliyewauwa kina Azory Mawazo Ben. Aliyewajeruhi kina Lissu, kudhulumu watu, nk.
Kuna ushauri wowote mliwahi kuwapa au ni machozi mengine ya mamba tu?
Si waende mahakamani kushitaki basi? Au?
Tuoneshe tusi kwenye haya maneno.Wembe uliotumika na mdude Kwa mtangulizi wa Mama Samia unaujua ni wembe upi?
Nimekuuliza unaujua wembe alioutumia Mdude enzi za JPM??Tuoneshe tusi kwenye haya maneno.
Kama ccm hawatafanya detente, CHADEMA nao hawako tayari kufanya appeasement politics.
Nguvu ya upinzani ni kubwa sana ndiyo maana ccm wanalazimika kutumia kila silaha waliyonayo kupambana na upinzani.Na hapo ndipo mwenye nguvu ndiye atakayeishi itakapotumika.
Malalamiko ndipo yatakapoanzia hapo.
Hata hivyo jamii yetu bado inawajinga wengi na masikini wengi hivyo nguvu ya Upinzani bado haiwezi kuwa kubwa
Nguvu ya upinzani ni kubwa sana ndiyo maana ccm wanalazimika kutumia kila silaha waliyonayo kupambana na upinzani.
2015 -2020 waliamua kutarget individual politicians wakajikuta wanaloose ground muhimu kwenye politics ya wananchi.
Currently hawana ushawishi tena kwenye umma wako madarakani kwa sababu waliamua kubaki kwa nguvu ya vyombo vya dola.
Sasa hivi hawana cha kuwalinda zaidi ya kutumia nguvu wenzao wasifanye shughuli za kisiasa tena.
2020 kwenye uchaguzi walifanya self inflicted wounding kwa kutengeneza ugomvi wao ndani baada ya jiwe kukata wagombea alishinda mchakato wa uchaguzi.
Ulimkosoa wapi na lini?Ndio maana naye tulimkosoa
Approach zake siyo nzuri kabisa...
Ulimkosoa wapi na lini?
Huwa napenda kusoma makala zako ambazo huwa ni moderate kwa kutokuwa upande huu au ule. Kiujumla huwa uko katikati...
Lakini kwa Mdude Chadema, umechemka. Sura yako halisi imetokelezea waziwazi...
Honestly, sijaona matusi ya Mdude Chadema. Katumia lugha kali kweli kweli lakini siyo matusi kama mnavyojaribu kumpaka....
".....Siwezi kunyamza. Wembe uliomnyoa Mwendazake John P. Magufuli, ndiyo utakaotumika kumyoa mama huyu...."
Hebu wewe "Taikon wa Fasihi", tuambie wanajukwaa wenzako, kuna tusi hapo? Kuna lugha ya matusi hapo..
Labda kama kuna jingine ambalo wengine hatujasoma au kuliona na kulisikia, basi mnapoandika muwe mnaweka kama reference kusapoti madai yenu ili wenye akili wakisoma, wawe wanaelewa kirahisi...
Chama cha siasa kikishindwa uchaguzi mara 3 kinageuka kuwa cha kigaidi..
Ndiko hii saccos chadema inakoelekea