HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.
Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya nzuri,watoto wao wanasoma nje,wanachangisha pesa,nk lakini wafuasi wao ni masikini wa kutupa hawana kitu.
WAAFRIKA tusituke demokrasia ni unyonyaji kupitia ukoloni mamboleo unaowataka wapinzani kufuata matakwa ya nchi za magharibi wanapokuwa wameingia madarakani.