Demokrasia imeshindwa Afrika kwa sasa mapinduzi ndiyo suluhisho

Umenikumbusha miaka ya 1958 hadi 1970 huko, kila nchi afrika ilikuwa inaogelea mapinduzi tu
[/Q

Mapinduzi ya miaka hiyo yalikuwa yanafadhiriwa na nchi za magharibi kwa masilahi yao hasa Marekani chini ya CIA pia utandawazi ulikuwa hamna hata elimu au uelewa ulikuwa finyu kwa Waafrika waliowengi ukiweka na kutembea.

Hivi yanayofanyika Burkina Faso chini ya serikali ya kijeshi kwa sasa ni sawa na yanayofanyika ktk nchi za serikali za kidemokrasia
 
Kwni wanajeshi nao hawataki hizo v8 kuficha pesa ulaya, kusomesha watoto wao ulaya
 
Mapinduzi ya Kijeshi yaliwahi kufanikiwa wapi ? Jeshi likiingia halitaki kutoka na shida ya Jeshi hakuna swali watafanya lolote wanalotaka wakati wowote na wala wewe usifanye lolote, Nigeria yamefanyika mapinduzi mara tano je wamefanikiwa ?
Since Nigeria became independent in 1960, there have been five military coups. Between 1966 and 1999, Nigeria was ruled by a military government without interruption, apart from a short-lived return to democracy under the Second Republic of 1979 to 1983.
Labda unachotaka kusema kwa maendeleo ya vitu huenda a benevolent dictator akafanikiwa kuliko a democracy (demokrasia ni prone kuwa slow in decision making); na ni gharama zaidi na duniani kwa sasa imekuwa ikipatikana kwenye vitabu na sio kiuhalisia (Power to the People)

Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

Mwisho kabisa ili twende sambamba labda tujiulize tunataka demokrasia ya aina gani

Wizi na ubadhirifu ktk serikali za kidemokrasia ni mkubwa kuliko wizi ktk uongozi wa serikali za kijeshi
Yaani uwape rungu hawahawa waafrika mzee, hilo binafsi siliafiki.

Bora tupambane na demokrasia yenye matobo ila sio uongozi wa kijeshi.
Wanajeshi hawahawa mkuu?? Wakikukuta umevaa nguo za kijeshi wanakudhalilisha, ukipita karibu na kambi yao unadhalilishwa, halafu uwape mamlaka makubwa namna hiyo, si mtachinjwa vichwa mchana kweupe.
 
Wewe mwenzetu naona huzijui hizi nchi za Putinism.
Wewe unayezijua hizo zako zinatusaidia nini?ebu taja ni nchi gani Afrika ilitawaliwa na Urusi au ambayo inanyonywa na Urusi??

Urusi ns mchi za magharibi ni nani anaikandamiza na kuinyonya Afrika?

Ni mashujaa wangapi wa Afrika wameuwawa na nchi za magharibi?acha ushabiki mzee!!
 
Mapinduzi ya Kijeshi yaliwahi kufanikiwa wapi ? Jeshi likiingia halitaki kutoka na shida ya Jeshi hakuna swali watafanya lolote wanalotaka wakati wowote na wala wewe usifanye lolote, Nigeria yamefanyika mapinduzi mara tano je wamefanikiwa ?
Since Nigeria became independent in 1960, there have been five military coups. Between 1966 and 1999, Nigeria was ruled by a military government without interruption, apart from a short-lived return to democracy under the Second Republic of 1979 to 1983.
Labda unachotaka kusema kwa maendeleo ya vitu huenda a benevolent dictator akafanikiwa kuliko a democracy (demokrasia ni prone kuwa slow in decision making); na ni gharama zaidi na duniani kwa sasa imekuwa ikipatikana kwenye vitabu na sio kiuhalisia (Power to the People)

Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

Mwisho kabisa ili twende sambamba labda tujiulize tunataka demokrasia ya aina gani

Ni wapi ambapo demokrasia imefanikiwa ndani ndani ya Afrika?Kwa sasa tunashuhudia Rwanda,Burkina Faso,Mali,Niger,nk zinafanya vizuri kwa kuwa ziko chini ya viongozi wa kijeshi,hakuna mjadla wala vikao vya kiplomasi bali amri ndani ya serikali ya kijeshi mtu hawezi kazi anawekwa pembeni siyo kubebana
 
Ni wapi ambapo demokrasia imefanikiwa ndani ndani ya Afrika?
Rudia kunisoma mwanzo kabisa nimekwambia hapo juu in short duniani kwa sasa hakuna demokrasia in really sense hio inapatikana kwenye vitabu na nadharia kilichopo ni rule of a selected few na hawa selected few wakiwa corrupt na mkitumia muda wenu mwingi kupigana kupata Kura kwenda Kula basi mnakuwa mmechukua mabaya yote ya Demokrasia na kuacha mazuri.. hivyo kinachoendelea Afrika na hata duniani kwa upande mmoja ni maigizo ya Demokrasia
Kwa sasa tunashuhudia Rwanda,Burkina Faso,Mali,Niger,nk zinafanya vizuri kwa kuwa ziko chini ya viongozi wa kijeshi,
Nope hazifanyi vizuri sababu ni uongozi wa kijeshi tena hapo naweza kuongeza hata China zinapata maendeleo ya vitu na mengine mengi sababu ya dictatorship iliyopo ni somehow benevolent....; (Yaani well meaning and kindly ni kama nyumbani kwako unamfuga simba ambaye wakati wowote anaweza akakutafuna ila anachofanya ni kila siku kwenda kuwinda nyama na kukuletea chakula)
hakuna mjadla wala vikao vya kiplomasi bali amri ndani ya serikali ya kijeshi mtu hawezi kazi anawekwa pembeni siyo kubebana
Nope ikitokea hao wanajeshi hawawezi kazi wala kuwatoa huwezi na kuwabishia wala kuwaambia chochote.....; Unachosema ni kuruka majivu kukanyaga moto....; Jeshi mkileta kelele wanaweza kuamua saa 10 kila mtu aingie ndani wala hakuna wa kubisha (na jiulize hapo anayeamua ni nani kama sio huyu huyu fisadi ambaye angeweza kuwa anafisadi hata kwenye demokrasia ila sasa hivi kapewa na mitutu na leeway ya kufanya anachotaka)
 
Rudia kunisoma mwanzo kabisa nimekwambia hapo juu in short duniani kwa sasa hakuna demokrasia in really sense hio inapatikana kwenye vitabu na nadharia kilichopo ni rule of a selected few na hawa selected few wakiwa corrupt na mkitumia muda wenu mwingi kupigana kupata Kura kwenda Kula basi mnakuwa mmechukua mabaya yote ya Demokrasia na kuacha mazuri.. hivyo kinachoendelea Afrika na hata duniani kwa upande mmoja ni maigizo ya Demokrasia

Nope hazifanyi vizuri sababu ni uongozi wa kijeshi tena hapo naweza kuongeza hata China zinapata maendeleo ya vitu na mengine mengi sababu ya dictatorship iliyopo ni somehow benevolent....; (Yaani well meaning and kindly ni kama nyumbani kwako unamfuga simba ambaye wakati wowote anaweza akakutafuna ila anachofanya ni kila siku kwenda kuwinda nyama na kukuletea chakula)

Nope ikitokea hao wanajeshi hawawezi kazi wala kuwatoa huwezi na kuwabishia wala kuwaambia chochote.....; Unachosema ni kuruka majivu kukanyaga moto....; Jeshi mkileta kelele wanaweza kuamua saa 10 kila mtu aingie ndani wala hakuna wa kubisha (na jiulize hapo aeamua ni nani kama sio huyu huyu fisadi ambaye angeweza kuwa anafisadi hata kwenye demokrasia ila sasa hivi kapewa na mitutu na leeway ya kufanya anachotaka)
Kiukweli mimi sikuelewi umesimamia upande upi demokrasia au mapinduzi ya kiheshi??

Pande zote mbili zina shida na faida sasa yapasa kuangalia ni wapi kuna unafuu ambapo kwa upande wangu serikali ya kijeshi inaunafuu zaidi
 
Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.

Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya nzuri,watoto wao wanasoma nje,wanachangisha pesa,nk lakini wafuasi wao ni masikini wa kutupa hawana kitu.

WAAFRIKA tusituke demokrasia ni unyonyaji kupitia ukoloni mamboleo unaowataka wapinzani kufuata matakwa ya nchi za magharibi wanapokuwa wameingia madarakani.
Demo +cracy
Demo means demons
Cracy originate drom the latin word cratos means rulers
 
Mpuuzi sana huyu
Kinachowasumbua watu kama wewe ni umma na uoga na kama nyie ndiyo mngekuwepo kipindi cha kupigania uhuru wa Afrika basi wote mngeolewa na kuwa mashoga kwa uoga wa kutothubutu!!!
 
Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.

Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya nzuri,watoto wao wanasoma nje,wanachangisha pesa,nk lakini wafuasi wao ni masikini wa kutupa hawana kitu.

WAAFRIKA tusituke demokrasia ni unyonyaji kupitia ukoloni mamboleo unaowataka wapinzani kufuata matakwa ya nchi za magharibi wanapokuwa wameingia madarakani.
Democracy kwa Africa ni utapeli.
 
Kiukweli mimi sikuelewi umesimamia upande upi demokrasia au mapinduzi ya kiheshi??
Ni kama unaniuliza Sungwi, Mchele na maini kipi ni bora hivyo vyote ingawa ni vyakula lakini havina uhusiano wowote kimoja ni matunda, nafaka na nyama...

Mapinduzi hutokea kwa kuondoa mamlaka (iwe mamlaka nzuri au mbaya); Jeshi ni wanaofanya mapinduzi wanaweza kuwa raia pia..., In short utawala wa kijeshi ni hatari na haufai na historia inatwambia Jeshi hupenda kungagania madaraka; na kwenye jeshi ni njia moja tu ya kufanya mambo no questions asked...

Demokrasia kwenye makaratasi ni bora sana ila kinachoendelea duniani pote wala sio demokrasia bali ni maigizo fulani hivi ya kuzipa authenticity mamlaka nyingi

Ingawa hata kule unakosema kuna vitu vinakwenda hata waliopo kama walikuwa wanajeshi sio necessarily military regimes bali ni dictatorship na hii dictatorship kama anayefanya hiyo dictating ni mtu mzuri basi mambo yatakwenda (Benevolent Dictatorship) ila kama ni mtu wa hovyo basi kazi mnayo sababu kumtoa inakuwa ngumu
Pande zote mbili zina shida na faida sasa yapasa kuangalia ni wapi kuna unafuu ambapo kwa upande wangu serikali ya kijeshi inaunafuu zaidi
Ulishaenda Jeshini ? Unajua Military Rules ? Au unasema kila mtu ambaye alikuwa mwanajeshi basi Serikali yake ni ya Kijeshi ? Kuleta military rules katika civilians in time of peace ni ujuha (sababu power corrupt na jeshi huwa lina absolute power)

Kwahio on paper dunia tunajaribu kufikia Utopia ambayo ni Demokrasia ambayo bado hatujafikia kinachoendelea ni maigizo ambayo ni mabaya zaidi kuliko hata udikteta....

Kinachowasumbua watu kama wewe ni umma na uoga na kama nyie ndiyo mngekuwepo kipindi cha kupigania uhuru wa Afrika basi wote mngeolewa na kuwa mashoga kwa uoga wa kutothubutu!!!
Nyerere didn’t spill blood becquse he believed in intelligence nq sio udomokaya wako

Tell me umeshafanya nini chenye impact yoyote Kwa unachobwabwaja humu
 
Upumbavu wa waTz ni vigeugeu kama wewe,maisha ya Cuba na ya Tanzania yapi ni bora zaidi ya mwenzie?ni nchi gani ya Afrika inayoifikia Cuba kiuchumi?

Usiongee kiushabiki bila kufikiria Tanzania na nchi kibao za Afrika zimesaidiwa na Cuba ktk mambo mengi mno kimosaada sasa inakuwaje Cuba kama ni masikini iweze kuipa misaada Tanzania??

UNACHEKESHA SANA, hukujui Cuba mkuu
 
Ni kama unaniuliza Sungwi, Mchele na maini kipi ni bora hivyo vyote ingawa ni vyakula lakini havina uhusiano wowote kimoja ni matunda, nafaka na nyama...

Mapinduzi hutokea kwa kuondoa mamlaka (iwe mamlaka nzuri au mbaya); Jeshi ni wanaofanya mapinduzi wanaweza kuwa raia pia..., In short utawala wa kijeshi ni hatari na haufai na historia inatwambia Jeshi hupenda kungagania madaraka; na kwenye jeshi ni njia moja tu ya kufanya mambo no questions asked...

Demokrasia kwenye makaratasi ni bora sana ila kinachoendelea duniani pote wala sio demokrasia bali ni maigizo fulani hivi ya kuzipa authenticity mamlaka nyingi

Ingawa hata kule unakosema kuna vitu vinakwenda hata waliopo kama walikuwa wanajeshi sio necessarily military regimes bali ni dictatorship na hii dictatorship kama anayefanya hiyo dictating ni mtu mzuri basi mambo yatakwenda (Benevolent Dictatorship) ila kama ni mtu wa hovyo basi kazi mnayo sababu kumtoa inakuwa ngumu

Ulishaenda Jeshini ? Unajua Military Rules ? Au unasema kila mtu ambaye alikuwa mwanajeshi basi Serikali yake ni ya Kijeshi ? Kuleta military rules katika civilians in time of peace ni ujuha (sababu power corrupt na jeshi huwa lina absolute power)

Kwahio on paper dunia tunajaribu kufikia Utopia ambayo ni Demokrasia ambayo bado hatujafikia kinachoendelea ni maigizo ambayo ni mabaya zaidi kuliko hata udikteta....

Je,unatambua kuwa kabla ya ukoloni uongozi uliokuwepo ulikuwa wa kidikiteta?
Nimekwambia sikuelewi umesimamia upande upi
 
UNACHEKESHA SANA, hukujui Cuba mkuu
Nimekuuliza wewe unayeijua Cuba je,uchumi wa nchi yako ya Tz unashinda wa Cuba?
Nchi yako haijawahi kupokea misaada kutoka Cuba,kwanini??

Acha ushabiki wa maji taka
 
Back
Top Bottom