Demokrasia imeshindwa Afrika kwa sasa mapinduzi ndiyo suluhisho

Demokrasia imeshindwa Afrika kwa sasa mapinduzi ndiyo suluhisho

WAAFRIKA tusituke demokrasia ni unyonyaji kupitia ukoloni mamboleo unaowataka wapinzani kufuata matakwa ya nchi za magharibi wanapokuwa wameingia madarakani.
CHAWA mnatapatapa sana.
Kwa hiyo unataka nyie muendelee kuibia nchi milele? Mbona nyie ni mafisadi pro, na ndo mnakabidhi raslimali za nchi kwa wageni bila tija?
 
Nyerere didn’t spill blood becquse he believed in intelligence nq sio udomokaya wako

Tell me umeshafanya nini chenye impact yoyote Kwa unachobwabwaja humu
Upumbavu ulionao ni utumwa wa kifikira na wa kimamboleo na kutojitambua kwa kudhani kiingereza ndiyo akili,acha kukurupuka na ushabiki usionatija,nyerere alifanya kipi kikubwa zaidi wengine?je unajua kuwa kulikuwa na wanamapinduzi zaidi ya nyerere na walifanya mambo makubwa tu nyuma ya pazia?mimi na wewe nani anabwabwaja humu,umeleta mada gani humu watu wakaikubali kwa wingi?
 
Je,unatambua kuwa kabla ya ukoloni uongozi uliokuwepo ulikuwa wa kidikiteta?
Nimekwambia sikuelewi umesimamia upande upi
Nope monarchy / ufalme sio necessarily a dictatorship ufalme ulikuwa na miiko na mfalme alifanya vitu kulingana na miiko, desturi na tamaduni, asingeweza kujiamulia kufanya mambo tofauti na sheria na miiko...

Hapa sio kusimamia upande gani najaribu kukuonyesha uhalisia from tamthiliya..., ili unapofanya choice au kuleta hoja ufahamu unaposema au unachosema kinamaanisha nini practically
 
Mimi nimekwambia sikuelewi na hasa nikizingatia kuwa uongozi wowote ule wa kidemokrasia unayaamini majeshi yake na kwa hali hiyo ni wazi majeshi yote ni watiifu na wapo kulonda maslahi ya nchi kwa kuwa tayari kumwaga damu kwa nchi yao.

Sasa kama wanasiasa chini ya demokrasia wanaamini jeshi ni waamifu kwanini jeshi lisichukue serikali?

Wanademokrasia/wanasiasa hawawezi na hawakotayari kufa kwaajili ya maslahi au usalama wa nchi yao wengi wao ni wasaliti.

Hakuna serikali ya kidemokrasia dunia hii!!
 
Upumbavu ulionao ni utumwa wa kifikira na wa kimamboleo na kutojitambua kwa kudhani kiingereza ndiyo akili,acha kukurupuka na ushabiki usionatija,nyerere alifanya kipi kikubwa zaidi wengine?je unajua kuwa kulikuwa na wanamapinduzi zaidi ya nyerere na walifanya mambo makubwa tu nyuma ya pazia?mimi na wewe nani anabwabwaja humu,umeleta mada gani humu watu wakaikubali kwa wingi?
Utatukana sana kenge weee

Lakini Nina confidence kwamba huna mchango wowote Kwa taifa hili

Kaa kimya…. Hujitaji kuleta mada na kufungwa mkono… hoyo ni mental health issue kabisa kujipima Kwa kuanzisha mada

Tunajua tulipotoka
 
Back
Top Bottom