HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Naunga mkono hoja!Ukiangalia kwa undani UTAGUNDUA TU democracy haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.
Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya nzuri,watoto wao wanasoma nje,wanachangisha pesa,nk lakini wafuasi wao ni masikini wa kutupa jawana kitu.
WAAFRIKA tusituke demokrasia ni unyonyaji kupitia ukoloni mamboleo unaowataka wapinzani kufuata matakwa ya nchi za magharibi wanapokuwa wameingia madarakani.
NigeriaWanajeshi wapi? Hawa wa bongo!
Hawa wanaoaminishwa wana maslahi makubwa kuliko wafanyakazi wote wa serikali,waje kupindua nchi ni uongo wa wazi kabisa .Nigeria
Mapinduzi ya kijeshi tunayohitaji ni "mapinduzi kijeshi ya kizalendo"yanayolindwa na wananchi kama ya Sankara,Traole,machel,nk siyo "mapinduzi ya kijeshi yanayolindwa na nchi za magharibi" chini ya wasaliti na vibaraka wa kiafrika.Kama kweli utawala wa kijeshi ndo suluhisho basi Africa ingekua ndo bara lenye maendeleo kuliko hata ulaya. Africa ndo bara linaloongoza kuwa na mapinduzi ya kijeshi lakini Bado ni maskini sasa wewe mwenzetu unaona suluhisho ni kuongeza mapinduzi ya kijeshi sio kupunguza😂
Kwa muono wako ni finyu ni hivyo lakini tumeshuhudia kina Fidel Castrol wakipindua nchi na kuongoza vizuri ambapo kila raia anaweza kupata kipande kidogo cha keki ukilinganisha na hao wazee wako wa vyama ambao wanachukua kipande kikubwa cha keki na kujilimbikizia mali na familia zao.hao wanajeshi ni hatari zaidi kuliko hao wazee wa vyama.
Kwa muono wako ni finyu ni hivyo lakini tumeshuhudia kina Fidel Castrol wakipindua nchi na kuongoza vizuri ambapo kila raia anaweza kupata kipande kidogo cha keki ukilinganisha na hao wazee wako wa vyama ambao wanachukua kipande kikubwa cha keki na kujilimbikizia mali na familia zao.
Fikiria kwa mapana zaidi acha kujifariji kwa uoga na fikira butu haya hao wanasiasa wa ccm au cdm wanakusaidia nini zaidi ya wao kuiba na kuishi maisha ya anasa kwa nguvu za wananchi,wamenenepeana kama lisu,mnyika,makonda,chalamila,nk.
Wanasiasa wote ni wezi huwezi kukalinganisha na viongozi wa serikali za kimapinduzi wa nchi za magharibi kwa sasa ,mikataba ya wanayoingia ni ya kimaendeleo na iinaonekana kuleta tija kwa wananchi kwani kwa sasa wazee wanapata matibabu bure,nk,sasa utawalinganisha na hao wazee wako wa vyama??
Mpuuzi sana huyuUkiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.
Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya nzuri,watoto wao wanasoma nje,wanachangisha pesa,nk lakini wafuasi wao ni masikini wa kutupa hawana kitu.
WAAFRIKA tusituke demokrasia ni unyonyaji kupitia ukoloni mamboleo unaowataka wapinzani kufuata matakwa ya nchi za magharibi wanapokuwa wameingia madarakani.
Upumbavu wa waTz ni vigeugeu kama wewe,maisha ya Cuba na ya Tanzania yapi ni bora zaidi ya mwenzie?ni nchi gani ya Afrika inayoifikia Cuba kiuchumi?aliekwambia Fiedel Castrol ameongoza vizuri ni nani? maisha ya Cuba umeyajua vizuri mkuu?
Umenikumbusha miaka ya 1958 hadi 1970 huko, kila nchi afrika ilikuwa inaogelea mapinduzi tuUkiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo.
Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya nzuri,watoto wao wanasoma nje,wanachangisha pesa,nk lakini wafuasi wao ni masikini wa kutupa hawana kitu.
WAAFRIKA tusituke demokrasia ni unyonyaji kupitia ukoloni mamboleo unaowataka wapinzani kufuata matakwa ya nchi za magharibi wanapokuwa wameingia madarakani.
Wizi na ubadhirifu ktk serikali za kidemokrasia ni mkubwa kuliko wizi ktk uongozi wa serikali za kijeshiYaani mapinduzi ya kijeshi huku bado mnapata support toka nchi nyingine, ni kubadili mabwana tu.
Walau hiyo demokrasia ila sio huo utawala wa kijeshi.
Cuba ndio nchi ya hovyo sana kwa sasa. Inaogelea kwenye umaskini wa kutupwaUpumbavu wa waTz ni vigeugeu kama wewe,maisha ya Cuba na ya Tanzania yapi ni bora zaidi ya mwenzie?ni nchi gani ya Afrika inayoifikia Cuba kiuchumi?
Usiongee kiushabiki bila kufikiria Tanzania na nchi kibao za Afrika zimesaidiwa na Cuba ktk mambo mengi mno kimosaada sasa inakuwaje Cuba kama ni masikini iweze kuipa misaada Tanzania??