antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
CHAWA mnatapatapa sana.WAAFRIKA tusituke demokrasia ni unyonyaji kupitia ukoloni mamboleo unaowataka wapinzani kufuata matakwa ya nchi za magharibi wanapokuwa wameingia madarakani.
Upumbavu ulionao ni utumwa wa kifikira na wa kimamboleo na kutojitambua kwa kudhani kiingereza ndiyo akili,acha kukurupuka na ushabiki usionatija,nyerere alifanya kipi kikubwa zaidi wengine?je unajua kuwa kulikuwa na wanamapinduzi zaidi ya nyerere na walifanya mambo makubwa tu nyuma ya pazia?mimi na wewe nani anabwabwaja humu,umeleta mada gani humu watu wakaikubali kwa wingi?Nyerere didn’t spill blood becquse he believed in intelligence nq sio udomokaya wako
Tell me umeshafanya nini chenye impact yoyote Kwa unachobwabwaja humu
Nope monarchy / ufalme sio necessarily a dictatorship ufalme ulikuwa na miiko na mfalme alifanya vitu kulingana na miiko, desturi na tamaduni, asingeweza kujiamulia kufanya mambo tofauti na sheria na miiko...Je,unatambua kuwa kabla ya ukoloni uongozi uliokuwepo ulikuwa wa kidikiteta?
Nimekwambia sikuelewi umesimamia upande upi
Mimi nimekwambia sikuelewi na hasa nikizingatia kuwa uongozi wowote ule wa kidemokrasia unayaamini majeshi yake na kwa hali hiyo ni wazi majeshi yote ni watiifu na wapo kulonda maslahi ya nchi kwa kuwa tayari kumwaga damu kwa nchi yao.Nope monarchy / ufalme sio necessarily a dictatorship ufalme ulikuwa na miiko na mfalme alifanya vitu kulingana na miiko, desturi na tamaduni, asingeweza kujiamulia kufanya mambo tofauti na sheria na miiko...
Hapa sio kusimamia upande gani najaribu kukuonyesha uhalisia from tamthiliya..., ili unapofanya choice au kuleta hoja ufahamu unaposema au unachosema kinamaanisha nini practically
Utatukana sana kenge weeeUpumbavu ulionao ni utumwa wa kifikira na wa kimamboleo na kutojitambua kwa kudhani kiingereza ndiyo akili,acha kukurupuka na ushabiki usionatija,nyerere alifanya kipi kikubwa zaidi wengine?je unajua kuwa kulikuwa na wanamapinduzi zaidi ya nyerere na walifanya mambo makubwa tu nyuma ya pazia?mimi na wewe nani anabwabwaja humu,umeleta mada gani humu watu wakaikubali kwa wingi?