Wampe Samia uenyekiti haraka!Shida ni kuwa bado hajasimikwa rasmi, ndiyo sababu vikao vinavyoendelea vinaendeshwa na Mangula
Wampe Samia uenyekiti haraka!
Ndio chama dola sasa, ndio chama tawala sasa unasemaje!?ccm hawajahai kujitapa kokote kuwa wanaijua demokrasia...
Na muhimu ujue kuwa ccm bado wapo kwenye mfumo wa chama kimoja na uhafidhina...
Sidhani hata kama ccm kinafiti kuwa chama cha siasa...
Ccm mmeanza Tabia mbaya,Sana hata x mwenyekiti kumpumzisha kwenye nyumba ya milele bado ,kumbe ndo maana mama mh rais leo katoa neno leo lenye maana mapana Sana wenye akili wamemuelewaKiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii si sawa kabisa na wala hakuna demokrasia hapo!
Kwanini kusifanyike uchaguzi ili wanachama wenye sifa washindanishwe kwa kupigiwa kura? Iko wapi demokrasia ambayo CCM inajitapa nayo? Makundi ndani ya CCM yanazaliwa kwa sababu hii. Kwani CCM isingeshinda kiti cha Urais utaratibu upi ungefuatwa kumpata mwenyekiti mpya?
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.
Kitu cha ajabu kuna viongozi ndani ya CCM wakiongozwa na Polepole wameanza kujipendekeza na kujibebisha kwa Mama Samia ili waendeleze ulaji wao. Pity!
Maana ya demokrasia ni ipi?Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii si sawa kabisa na wala hakuna demokrasia hapo!
Kwanini kusifanyike uchaguzi ili wanachama wenye sifa washindanishwe kwa kupigiwa kura? Iko wapi demokrasia ambayo CCM inajitapa nayo? Makundi ndani ya CCM yanazaliwa kwa sababu hii. Kwani CCM isingeshinda kiti cha Urais utaratibu upi ungefuatwa kumpata mwenyekiti mpya?
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.
Kitu cha ajabu kuna viongozi ndani ya CCM wakiongozwa na Polepole wameanza kujipendekeza na kujibebisha kwa Mama Samia ili waendeleze ulaji wao. Pity!
Ndio kama ilivo ANC pale south afrika zuma na tabo mbeki hawakutoboa miaka yao kazini ,chama kinakuondoa hufai hufai...kofia mbili nimbinu yakuzuia mapinduzi yakiungozi ccm ,basi hakuna jingine lamana ,miaka 70 bado hawaaminiani ila madongo kwambowe anayepigiwa kura hilo nilazimaUnataka Mwenyekiti Wa chama amfokee [emoji51]Rais wa Nchi.
CCM kumejaa uozo balaaKiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii si sawa kabisa na wala hakuna demokrasia hapo!
Kwanini kusifanyike uchaguzi ili wanachama wenye sifa washindanishwe kwa kupigiwa kura? Iko wapi demokrasia ambayo CCM inajitapa nayo? Makundi ndani ya CCM yanazaliwa kwa sababu hii. Kwani CCM isingeshinda kiti cha Urais utaratibu upi ungefuatwa kumpata mwenyekiti mpya?
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.
Kitu cha ajabu kuna viongozi ndani ya CCM wakiongozwa na Polepole wameanza kujipendekeza na kujibebisha kwa Mama Samia ili waendeleze ulaji wao. Pity!
Hata kama Mbowe angehudumu vipindi 10 haina tatizo ili mradi anachaguliwa kwa kura kwa kushindanishwa na wanachama wengine. Je Magufuli alishindanishwa na nani kama siyo kumsimika kama ambavyo Mama Samia atasimikwa bila kushindanishwa na mwanachama mwingine.Maana ya demokrasia ni ipi?
Kama mdivyo basi mbowe asingekuwa anaendelea kwa zaidi ya vipindi viwili,
Mbona huko hamuhoji?
Tatizo ni elimu bure uliyopewa... Hata kujenga hoja huwezi!Ndio chama dola sasa, ndio chama tawala sasa unasemaje!?
Ndege wafananao ndiyo warakao pamoja.Ukitaka kujua kama CCM kuna demokrasia au la,fuatilia vyama vyake rafiki;Chama cha kikomunisti cha China,North Korea,Chama cha Putin,Cuba huko n.k.Ukitaka kujua tabia ya mtu angalia marafiki zake ni wa aina gani!
lini?Je pindi CCM itakapokosa Urais wa nchi kitapataje mwenyekiti wake?
poleni sana kusubir ndege bandariniKabla hujafariki!
'tunge' wewe na nani?Tungekuwa na watu kama wewe wakati wa kudai uhuru tungepata hasara sana!
UNajua Katiba yao inasema nini juu ya hilo? Unawalaumu wafuate ya kwako wakati wao wana utaratibu uliopitishwa? Naona kama kuna kuwashwa washwa!Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii si sawa kabisa na wala hakuna demokrasia hapo!
Kwanini kusifanyike uchaguzi ili wanachama wenye sifa washindanishwe kwa kupigiwa kura? Iko wapi demokrasia ambayo CCM inajitapa nayo? Makundi ndani ya CCM yanazaliwa kwa sababu hii. Kwani CCM isingeshinda kiti cha Urais utaratibu upi ungefuatwa kumpata mwenyekiti mpya?
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.
Kitu cha ajabu kuna viongozi ndani ya CCM wakiongozwa na Polepole wameanza kujipendekeza na kujibebisha kwa Mama Samia ili waendeleze ulaji wao. Pity!
Anapigiwa kura sawa, lakini kwa nini kila anayeonesha nia au kupambana naye mwisho wa siku anafukuzwaMbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.[emoji1548][emoji1534][emoji1752]
Hakuna cha kusema pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu ....... Mbowe naye hovyo tu! mambo ya kuharibu maendeleo ya chama kwa kudanganya unapigiwa kura. Kura gani ya kijinga hiyo. Mbowe aondoke awaachie wengine nao wawaze kivingine. Tusitake kumpamba kwa matendo ya kijinga-jinga!Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.
Kitu cha ajabu kuna viongozi ndani ya CCM wakiongozwa na Polepole wameanza kujipendekeza na kujibebisha kwa Mama Samia ili waendeleze ulaji wao. Pity!