Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani

Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani

Jomba si afadhali Demokrasia hii in muda maalum wa kipindi Cha uongozi say Miaka 5 mitano...vipi Demokrasia ya uenyekiti wa maisha ya mavyama mengine...unatueleza nini..hiyo Ni Demokrasia kweli au utawala wa kifalme...tuanzie hapo
Bila shaka unaota! Hivi kwa akili yako ndani ya CCM kuna demokrasia?
 
Hahaha labda tuambie kwa ndoto zako au utabiri, Rais huko baadae atatoka chama gani jomba..usitake kulazimisha vitu ambavyo havipo katika uhai wetu..huko milele kwani tutakuwepo..au wewe utakuwepo milele
Sikujua na mtu anayelamba nyayo za wenzake ili aishi!
 
Kinachojalisha ni kufanyika kwa uchaguzi huru na haki na siyo usimikaji kama wa kichifu!
Kuna nchi za kichifu zinaenda vizuri kabisa kimaendeleo kuliko hizo za kupigiwa kura. Kwani hujui kwamba Hitler alichanguliwa?
 
Kuna nchi za kichifu zinaenda vizuri kabisa kimaendeleo kuliko hizo za kupigiwa kura. Kwani hujui kwamba Hitler alichanguliwa?
Sawa na Magufuli alichaguliwa baadaye akageuka na kuwa dikteta!
 
Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.[emoji1548][emoji1534][emoji1752]
Umenikumbusha alivyosema Mzee Sumaye kwamba aliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa kuilamba.

Anyway nilitaka kusema kwamba ushindani kwa mwenyekiti wa CCM unakuwepo kwenye mchakato wa kumpata atakayepeperusha bendera ya chama kwenye Urais. Mbona inaeleweka tu.

Hata CHADEMA nao pia hawana Demokrasia linapokuja suala la kumpata atakayepeperusha bendera ya chama kwenye Urais.
 
Nenda Kwanza upate majibu ya

Vipi Demokrasia ya kifalme ya vyama pinzani unaionaje..na unashauri nini
Una matatizo gani?kwanini unauliza swali wakati haujajibu swali lililoulizwa?MTAACHA LINI UZWAZWA?
 
Mkuu huu ni utaratibu waliokubaliana/walioridhiana.Hii ndio demokrasia yao.Na wewe hicho unachokiita demokrasia ndio utaratibu wako.
Demokrasia nayo ni utaratibu tu usitishwe na hilo neno
At least umenijibu!NASHUKURU
 
Anapigiwa kura au watu wanalazimika kumpigia kura kwa lazima..wewe acha bana..usitake tuseme na ya Siri za ndani..usilete mchezo
Una mambo ya jikoni sana wewe, siri gani unaweza kuwa nayo kama siyo umbea! Weka wazi kila unachojua acha mambo ya kisenge!

Hivi Samia anashindana na nani katika uchaguzi wenu kama siyo kujibebisha kwake na dola ili kulinda ulaji wenu!
 
Back
Top Bottom