julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
mbon huku kwetu ufipa wazee wakari wa hizi kazi hakuna demkoransaia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka unaota! Hivi kwa akili yako ndani ya CCM kuna demokrasia?Jomba si afadhali Demokrasia hii in muda maalum wa kipindi Cha uongozi say Miaka 5 mitano...vipi Demokrasia ya uenyekiti wa maisha ya mavyama mengine...unatueleza nini..hiyo Ni Demokrasia kweli au utawala wa kifalme...tuanzie hapo
Sikujua na mtu anayelamba nyayo za wenzake ili aishi!Hahaha labda tuambie kwa ndoto zako au utabiri, Rais huko baadae atatoka chama gani jomba..usitake kulazimisha vitu ambavyo havipo katika uhai wetu..huko milele kwani tutakuwepo..au wewe utakuwepo milele
Kuna nchi za kichifu zinaenda vizuri kabisa kimaendeleo kuliko hizo za kupigiwa kura. Kwani hujui kwamba Hitler alichanguliwa?Kinachojalisha ni kufanyika kwa uchaguzi huru na haki na siyo usimikaji kama wa kichifu!
Umenikumbusha alivyosema Mzee Sumaye kwamba aliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa kuilamba.Mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu CHADEMA lakini anapigiwa kura. Hii ndiyo demokrasia.[emoji1548][emoji1534][emoji1752]
Una matatizo gani?kwanini unauliza swali wakati haujajibu swali lililoulizwa?MTAACHA LINI UZWAZWA?Nenda Kwanza upate majibu ya
Vipi Demokrasia ya kifalme ya vyama pinzani unaionaje..na unashauri nini
At least umenijibu!NASHUKURUMkuu huu ni utaratibu waliokubaliana/walioridhiana.Hii ndio demokrasia yao.Na wewe hicho unachokiita demokrasia ndio utaratibu wako.
Demokrasia nayo ni utaratibu tu usitishwe na hilo neno
Jibu swali kwanza jombaBila shaka unaota! Hivi kwa akili yako ndani ya CCM kuna demokrasia?
Una mambo ya jikoni sana wewe, siri gani unaweza kuwa nayo kama siyo umbea! Weka wazi kila unachojua acha mambo ya kisenge!Anapigiwa kura au watu wanalazimika kumpigia kura kwa lazima..wewe acha bana..usitake tuseme na ya Siri za ndani..usilete mchezo